Washiriki shindano la Watanzania wenye umri mdogo na wenye ushawishi watajwa

Joram Dymisster

JF-Expert Member
Apr 7, 2014
502
428
Most%2BInfluential%2BYoung%2BTanzania%2B2017%2BClass.png


Washiriki wa shindano la Avance Media kwa Watanzania 50 wenye umri mdogo na wenye ushawishi kwa mwaka 2017 wametajwa.

Watanzania hao 50 huchaguliwa kwa kupigiwa kura wakitokea katika sekta mbalimbali kama vile biashara, burudani, Sheria na utawala, sekta ya habari, sayansi na teknalojia, michezo, uwajibikaji katika jamii na kujitolea.

Kwa mujibu wa waandaji wa shindano hilo, washindi watatangazwa tarehe 16 mwezi January mwaka 2018
Ikiwa ni moja ya mashindano yenye heshima kubwa, shindano hili hutoa mchango wa kipekee kwa kutambua jitihada mbali mbali zinazofanywa na Watanzania wenye umri mdogo katika sekta mbali mbali

Mkurugenzi Mtendaji wa Avance Media, Prince Akpah alisema “Kwa mwaka huu, Mtanzania mwenye ushawishi Zaidi ni yule ambaye kazi yake pasipo na shaka imekuwa na mchango chanya kwa maisha ya Watanzania. Washiriki wote waliotajwa na wanaoshiriki, wamerweza kuvuka kigezo cha kufanya kazi kwa ajili ya kuboresha maisha ya watu wengine kupitia kujituma, kufanya kazi kwa bidii ,kujitolea na kibubwa Zaidi kufanya maamuzi ya kijasiri,”

Pazia la upigaji kura tayari limeshafunguliwa kupitia tovuti ya tz.avancemedia.org ili kuweza kumpata mshindi mmoja mwenye ushawishi aidi katika sekta nane ambazo zitapigiwa kura
Zoezi hili pia linafanyika katika nchi za Cameroon, Ghana, Nigeria, South Africa, DR Congo na Kenya.
ashiriki waliotajwa ni wafuatao
Kwenye biashara (kwa kushirikiana na TANOE Business)

2017%2BMost%2BInfluential%2BYoung%2BTanzanian%2B%25281%2529.png


Carol Ndosi (Alta Vista Events)

Harun Elias (Javis International Trade Co.)

Hellen Dausen (Nuya's Essence)

Ian Ferrao (Vodacom Tanzania)

Krantz Mwantepele (KONCEPT)

Patrick Ngowi (Helvetic Solar)

Yusuf Bakhresa (Azam Media Ltd)

Burudani (kwa kushirikiana na WatsUp TV)

2017%2BMost%2BInfluential%2BYoung%2BTanzanian%2B%25282%2529.png

Ali Kiba (mwanamuziki)

Diamond Platinumz (mwanamuziki)

Jokate Mwegelo (muigizaji)

Joti (mchekeshaji)

Riyama Ally (mwigizaji)

Vanessa Mdee (mwanamuziki)

Wema Sepetu (mwigizaji)

Sheria na Utawala
2017%2BMost%2BInfluential%2BYoung%2BTanzanian%2B%25283%2529.png


Albert Msando (mwanasheria)

Benedict Ishabakaki (mwanasheria)

Bonnah Kaluwa Mbunge)

Fatma Karume (mwanasheria)

Jebra Kambole (mwanasheria)

Peter Kibatala (mwanasheria)

Maisha
2017%2BMost%2BInfluential%2BYoung%2BTanzanian%2B%25284%2529.png


Benjamin Fernandes (Mwendesha kipindi cha Tv)

Flaviana Matata (mwanamitindo)

Jacqueline N Mengi (mwanamitindo)

Millen Magese (mwanamitindo)

Miriam Odemba (mwanamitindo)

Osse Greca Sinare (mpiga picha)

Tasnia ya Habari
2017%2BMost%2BInfluential%2BYoung%2BTanzanian%2B%25285%2529.png


Babbie Kabae (Clouds 360)

Bdozen (Clouds Media)

Dina Marios (E-FM Radio)

Idris Sultan (SIO HABARI)

Millard Ayo (Ayo TV)

Salim Kikeke (BBC Swahili)

Sayansi na Teknolojia
2017%2BMost%2BInfluential%2BYoung%2BTanzanian%2B%25288%2529.png


Edwin Bruno (Smart Codes)

Evans Makundi (EvMak Tanzania Ltd)

Fayaz Valli (GetCore Group)

Johnpaul Barretto (Kinu Innovation Space)

Jumanne Mtambalike (Sahara Ventures)

Lilian Makoi (Jamii Africa )

Michezo
2017%2BMost%2BInfluential%2BYoung%2BTanzanian%2B%25286%2529.png

Hashim Thabit Manka (Yokohama B-Corsairs)

Juma Kaseja (Young Africans SC)

Mbwana Samatta (KRC Genk)

Mrisho Ngasa (Fanja SC)

Shomari Kapombe (Simba SC)

Thomas Ulimwengu (AFC Eskilstuna)

Jamii na asasi za kiraia
2017%2BMost%2BInfluential%2BYoung%2BTanzanian%2B%25287%2529.png

Faraja Nyalandu (Shule Direct)

Irene Kiwia (Tanzania Women of Achievement)

Jennifer Richard Shigoli (Tanzania Netherland Vocational Training Center)

Nancy Sumari (The Neghesti-Sumari Foundation)

Rebeca Gyumi (Msichana Initiative)

Saira Dewji (Mo Dewji Foundation)

Shindano hili huandaliwa na Avance Media kwa kushirikiana na BioPlus, ReputationPoll.com, Abjel Communications, WatsUp TV, YCEO, TANOEBusiness.com, My Naija Naira, Dream Ambassadors Foundation GH, CliqAfrica na CELBMD Africa.

Most%2BInfluential%2BYoung%2BTanzania%2B2017%2BClass..png


CHANZO; PRIORITY10NEWS
 
daaahh naona kila mmoja nu infuencial kwa nafasi yake.......bt kwangu hapo nampa Bdoze...diamond....millard na vannesa....salim kikeke
na huyo jamaa mhitimu wa chuo havard
mi ni shabiki wa kiba lkn hakuna alicho ni influence so far.

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
 
Hivi umri mdogo ni kuanzia miaka mingapi hadi mingapi ? Napenda kujua.
 
Business- Patrick Ngowi,

Entertainment- Jokate Mwegelo,

Law&governance- Bonnah Kaluwa,

Lifestyle- Jacqueline Mengi,

Media- Millard Ayo,

Science&Technology- Lilian Makoi,

Sports- Mbwana Samatta,

Social Ent.&Civil Society- Faraja Nyalandu.
 
My vote goes to
Carol Ndosi
Jokate Mwegelo
Bonnah Kaluwa
Jacqueline Mengi
Millard Ayo
Jumanne Mtambalike
Mbwana Samatta
Faraja Nyalandu
 
Wazo zuri,ila wapunguze mahaba,wengine hawastahili kuwepo,lkn pia category hazijakaa sawa ( Wangu mtazamo )
 
Kuna majina hapo sion mchango wao kwenye jamii! Ni bora wangemuweka ONTARIO. Angeshinda kwa sababu kweli ana impact kwenye jamii na kweli bado ni mdogo, sa kuna watu wapo hapo na wameshatembea kilometer nyingi tu, labda waliinfluence zamani.
Watubu
 
Shomary kapombe kakimbia kucheza ulaya ambako ndio ndoto ya vijana wenye malengo karudi Tz.. kaenda azam baadae akasajiliwa simba akiwa simba mwaka mzima ana fake ugonjwa hataki kucheza mpira na mshahara anapata!! eti leo ni influential?? Ukisikia upuuzi ndio huu sasa
 
Back
Top Bottom