Wasanii ambao waliwai kuwaimbia nyimbo wapenzi wao waliowapenda kwa dhati

Tman900

JF-Expert Member
May 30, 2017
455
1,418
Kama Kuna wengine unaowajua Ruksa kuongeza.

Juma Nature aka Kiroboto - Sinta mpaka Nyimbo kamuimbia.
Mb- Dog --- Nancy Sumari Mpaka Nyimbo kamuimbia

Jagwa Kuna msanii wa mnanda alimuimbia -Asha
Juma Jux- Vanessa
Ongezeni wasanii wengine ambao waliwai kuwaimbia nyimbo wapenzi wao/ Mtu ambae waliowapenda kwa dhati
 
Harmonize Mmakonde -Kajala albums nzima

Aisee hiyo kuhusu MB Dog nilikuwa sijui kama alikuwa anakula Nancy
 
Harmonize Mmakonde -Kajala albums nzima

Aisee hiyo kuhusu MB Dog nilikuwa sijui kama alikuwa anakula Nancy
Alikua anaempenda Nancy sumary ila hajawai kua nae ktk mahusiano 2002. Mb- Dog akiwa ktk kituo cha redio aliunzwa swali na mtangazaji, kuhusu kumtaja Nancy sumary ktk nyimbo Jibu lake alisema " Kiukweli nampenda sana Nancy sijapata tu nafasi ya kua nae ila nampenda"
 
Kama Kuna wengine unaowajua Ruksa kuongeza.

Juma Nature aka Kiroboto - Sinta mpaka Nyimbo kamuimbia.
Mb- Dog --- Nancy Sumari Mpaka Nyimbo kamuimbia

Jagwa Kuna msanii wa mnanda alimuimbia -Asha
Juma Jux- Vanessa
Ongezeni wasanii wengine ambao waliwai kuwaimbia nyimbo wapenzi wao/ Mtu ambae waliowapenda kwa dhati
MB Dogg na Nancy Sumari hawajawahi kuwa wapenzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom