Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,403
- 7,778
Lengo ni kuweka kumbukumbu vema na kuondoa upotoshaji
Neno la hekima kwa walio.na hekima
Nukuu:
1 Na ishara kuu ilionekana mbinguni; mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi ulikuwa chini ya miguu yake, na juu ya kichwa chake taji ya nyota kumi na mbili.
Ufunuo wa Yohana 12:1
2 Naye alikuwa ana mimba, akilia, hali ana utungu na kuumwa katika kuzaa.
Ufunuo wa Yohana 12:2
3 Ikaonekana ishara nyingine mbinguni; na tazama, joka kubwa jekundu, alikuwa na vichwa saba na pembe kumi, na juu ya vichwa vyake vilemba saba.
Ufunuo wa Yohan
a 12:3