Kitu gani kinakuvutia jamii forum?Ulilokataa kujibu ndilo lilikuwa swali langu..
hapana
Vingi tu, huwa napenda tu jinsi watu wanavyochambua mada kwa hoja zenye mashiko , pia napenda sana watu wanavyoichambua serikali bila kuogopa chochote,inshort Jf ni kama darasa kwangu, najifunza vitu vingi kuhusu maisha.Kitu gani kinakuvutia jamii forum?