Fao La Kujitoa
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 396
- 966
vile vitambi vimeshehen utapia mlo wataweza kuchimba madini kweli.Tulia wewe, watarudi na madini haraka za nini??
heeee kumbe...View attachment 480202 cheki wanaume! Sio hao wamebaki kucheza kombolela tena msituni na kuota vitambi vikubwa
Wa hapa kwetu vitu kama hivyo tunaviona siku ya maonyesho fulan au wapinzani wa WALE ksma wametangaza opalation UKUTAView attachment 480202 cheki wanaume! Sio hao wamebaki kucheza kombolela tena msituni na kuota vitambi vikubwa