Mwandwanga JF-Expert Member Dec 2, 2011 3,059 1,569 Mar 25, 2017 #1 Tusaidiane kutaja wajumbe wa tume ya Warioba na nyadhifa zao kwa sasa..
kayaman JF-Expert Member Aug 3, 2013 4,516 10,416 Mar 25, 2017 #2 palamagamba kabudi - waziri wa sheria humphrey polepole - katibu mwenezi ccm NJAA HAIDANGANYI
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,035 Mar 25, 2017 #3 Yaani ulivyomtaja tu warioba nimekumbuka vibao alivyozabuliwa na makonda mpaka akashindwa kuendelea na mdahalo na ndiyo ikawa mwisho wa mdahalo
Yaani ulivyomtaja tu warioba nimekumbuka vibao alivyozabuliwa na makonda mpaka akashindwa kuendelea na mdahalo na ndiyo ikawa mwisho wa mdahalo