Waraka mfupi kwa IGP Wambura

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
685
1,345
Siku za hizi karibuni tumeona wimbi kubwa ya wezi kuvamia nyumba za Watu na kuiba vifaa vya magari

Majuzi maeneo ya Bunju maeneo ya Watumishi Housing. Mabwepande, Manzese nyumba Zaidi kumi wamekutana na "Kadhia' hii za magari yao kuibiwa vifaa

Kila uchao tunaona wezi hawa ndo wanazidi na sioni jitihada zozote kuzuia hili swala

Rai yangu kwako IGP Wambura na vijana wako ni vema Jeshi la police likaanza kuchukua hatua stahiki ili kukomesha vitendo hivi ili Wananchi kujenga Imani na Jeshi la police

Naamini Jeshi kwa kushirikiana na Wananchi wanaweza kukomesha hivi vitendo na Wananchi kuishi Kwa Amani na magari yao sehemu zao

IGP Wambura kupitia vijana wako tunakuomba Sana vitendo hivi vikomeshwe haraka Sana Kwani imekuwa Kero kubwa kwa wakazi wa Dar es salaam

Alex
 
Mjilinde tu wenyewe

Wafikishieni ujumbe

Waje kuokota mzoga

Ova
 
siku hizi jeshi letu limendelea unaweza kutuma malalamiko yako kama ANONYMOUS Au kwa kudhihirisha utambulisho wako kupitia kiunganishi hiki https://emrejesho.gov.go.tz/complai...WNfBAu0Jwx7KgvzBRj1eDCAhy0P6yNAd1vHBEr7p3uuyx

au unaweza kuwasiliana na polisi kitengo cha mawalisiano kupitia namba 0787668306

au ukawasiliana na kamushina mkuu wa malalamiko DODOMA kupitia namba 0737109300

ukiona haitoshi unaweza kuwasiliana na IGP. Wambura kupitia namba 0684111111

nimeona njia uliyotumia haitoleta manufaa
 
Back
Top Bottom