Wapiga mizinga wengi wabovu kitandani

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,663
7,774
Ukiona mwanamke anapenda wanaume wenye pesa hata kama ni mpenzi wako mchunguze tu huo ndio udhaifu wake mkubwa hana lolote kitandani, ila anakuwa mwepesi kwenye kupiga mizinga balaa na ukimwambia sina lazima atafute mbadala.

Wengi wao wanaishia kujipodoa kuficha madhaifu yao.
 
Tatizo sio wao inawezekana wewe sio dereva mzuri. Ushawahi ona wapi gari linatembea bila mafuta. Pesa kwanza mapenzi baadae. Huna hela tafuta wa saizi yako sio kuparamia wadada ghali wakati una uwezo wa kuopoa binti mzuri mwenye adabu zake za kutokupiga mizinga(wa hivi huwa mnasema washamba) mkikutana na wajanja ndo basi tena ka wallet kanadekiwa vizuri tu
 
Mafuta nigharamie mie,gari niendeshe mie na Malipo juu! Ina TV Ndani?
 
Yaani nilikaa na mdada fulani hivi jana, alipokea simu kutoka kwa wakaka kama watano hivi kila mmoja anamuomba hela mara ya nywele, mara anunue simu... Na ana mchumba ake jamani!... Tena wengine ndo kwanza kakutana nao mitandaoni... Na wanaume wanamtumia aisee... Ivi bado kuna wanaume wanapigwa mizinga ya kijinga hivi!?
Ila uzuri wa huyu mdada ukipa hela ndefu lazima tu akupe papuchi!!! Ni mroho wa hela saana na aoni aibu kuomba hela.
 
kuna mmoja nlikutana nae kweny gar..nikaanza kumshika shika na vile tulivyokaa siti ya nyuma..nikaanza kumshika mpka maeneo nyet...mtoto kavaa shanga si mchezo...tumeshuka ubungo mtoto hatak kwenda kwao anasema hajawaambia kuwa atafika siku hyo...kwahyo niwe huru tu..du nlikuwa na mizigo lukuki..kias nikashindwa kuchukua lodge...nikamwambia tutakutana siku inayofata ...cha kushangaza bint alipofika home akaanza kuntumia sms...huk akimalizia na neno dady.....du nikacheka sana kumbe sikuhz sio baby tena..ni mwendo wa dady.....
 
Baadhi ya wanawake hawajitambui kabisa,mie nadhani usipo mumba huyo mwanamme hela huenda alikufikiria akupe nyingi
kuliko unayo taja,au niuliza wenzangu wanaoomba kijinga jinga mfano anataka hela ya saloon,hela ya nywele,mara vocha,mara hela ya kula ivi kweli hapo ndio mwisho wa mahitaji yako? kwanini usimpe nafasi huyo mwanamme akafikiria akupe nini cha maana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…