Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,719
- 6,681
Wakuu
Hakuna aliye mkamilifu chini ya jua. Mara nyingi muumba atakujalia kipawa au karama hiki akakunyima ile hiyo ndio hali halisi.
Wengine wameenda mbali zaidi kudai hata malaika sio wakamilifu 100%.
Sasa kwenye mambo ya mahusiano kuna wanaojulikana wako njema sana kwenye mahaba ila wako duni kwenye utafutaji. Hawa wakiwa nawew watakufanya uone dunia kuwa sehemu salama sana kuishi, utapewa treatment ya kifalme hadi uchanganyikiwe. ila sasa ndoivyo watu hawa hawajisumbui hata kidogo. watakutegemea wewe kwa kila kitu tena kwa 100% kuanzia malazi hadi makazi.
Kinyume chake kuna kundi jingine la wenye ustadi wa utafutaji ila mahaba ni zero aka sifuri, hawa ukiwa nao utapata sapoti ya kutosha sana kwenye utafutaji na mara nyingi kuna mambo mengi wanajimudu wenyewe ila ndoivo hawana nyenyenye za mahaba.
Hawa me ukizubaa unaweza siku moja kujikuta umelala nje kwa kufungiwa mlango baada ya kuchelewa kurudi kwa wakati (ndio lazma urudi kwa wakati kila sehemu kuna utaratibu wake) au siku ingine umekula kelbu moja matata sana hadi akili ikukae sawa.
Sasa wakuu kati ya haya makundi mawili mnafikiri twende na kundi lipi 2025?