Natafuta tofauti ya mwanamke na mwanamme ukiacha jinsia na sauti, mbona hata mabandiko yao humu jf yako kike sana, ninaposoma topic mpya hasa inayokosoa ukahaba na namna ya matendo inayofanana na hayo, bila tafakari msra utaona wanavyotetea. Je wanawezaje kulinda kizazi hiki dhidi ya uovu wa kijinsia unaotamalaki kila mahala? Au sisi wanaume tuendelee na mfumo wetu dume? I stand to be collected!
Huyu jamaa nikama anawaza kwamba.....mmhh mbona sikuelewi unataka nini kifanyike
hahaha yeah nimeelewa mpe poleHuyu jamaa nikama anawaza kwamba.....
Ili asikanyagiwe, ni wapi apachunge..!?
Sorry meant "corrected "You stand to be collected or you stand to be corrected?? Embu niweke sawa hapo then nichangie mada
Joseverest sorry "corrected"You stand to be collected or you stand to be corrected?? Embu niweke sawa hapo then nichangie mada