Alinifanya nilipende Gazeti la Raia mwema miaka ile. Kuna mtu aliniambia alisimamishwa Upadri kwa tuhuma za kushawishi waumini watumie kondom,mwanzo nakumbuka alikuwa jimbo la Lurenge.
Nani anajua alipo huyu mtumishi
Wa Mungu msema kweli?

Ni kweli hajatoa makala siku za karibuni.Pia Bwambo Johnson naye pia baada ya uchaguzi mkuu hajatoa makala. Alikuwa na msimamo ulio wazi sana kuhusu Lowasa.. kwamba hafai!