Wapi nitapata sport bike ya hivi?

agiza mtandaoni ila sidhani kama bei yake utaiweza

kuna siku naperuzi huku mbele si nikakuta hadi baiskeli za 30+milioni,nilishangaa sana
 
agiza mtandaoni ila sidhani kama bei yake utaiweza

kuna siku naperuzi huku mbele si nikakuta hadi baiskeli za 30+milioni,nilishangaa sana
Duh, ni vina 50cc tu ndo viuzwe bei kubwa ivyo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…