W Wakunyumba Official Member Nov 10, 2015 40 10 Jun 26, 2016 #1 Wakuu habari zenu, Kwa wanaoifahamu hii perfume inaitwa GUESS SPOT ntaipatia wapi kwa hapa Dar es Salaam? Nashukuru sana.
Wakuu habari zenu, Kwa wanaoifahamu hii perfume inaitwa GUESS SPOT ntaipatia wapi kwa hapa Dar es Salaam? Nashukuru sana.
prototypeman JF-Expert Member Apr 4, 2014 288 108 Jun 26, 2016 #2 Nenda mlimani city pale kwenye maduka ya vipodozi unaweza kuipata hiyo perfume yako
Abra One JF-Expert Member Jun 11, 2013 916 374 Jun 26, 2016 #3 Ni 'just sport' ama 'gues sport? Mi natumia zangu body spray bana ya just sport ni nzur sana
johnsonmgaya JF-Expert Member Oct 16, 2015 2,818 3,729 Jun 26, 2016 #4 Abra One said: Ni 'just sport' ama 'gues sport? Mi natumia zangu body spray bana ya just sport ni nzur sana Click to expand... zinauzwa bei gani mkuu hzo just spot
Abra One said: Ni 'just sport' ama 'gues sport? Mi natumia zangu body spray bana ya just sport ni nzur sana Click to expand... zinauzwa bei gani mkuu hzo just spot