Wapenzi wa Chinese na Korea drama

Dinnah

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
791
1,058
Habari zenu wakuu,Kwa wale wenzangu na Mimi wapenzi wa drama,katika kuangalia kwangu drama nyingi hatimae nimeamua kuweka top 15,ya drama ambazo nazipenda mno

Hautojuta kuangalia drama hizi.

1,Iljimae
2,Gu family book
3,Boys over flowers
4,king of banking
5,Destinated to love you(Chinese)
6,Journey of flower(Chinese)
7,Legend of Yunxi(Chinese)
8,Princess weiyoung(chinese)
9,Legend of blue sea
10,Goblin
11,Strong woman dobong soo
12,Mirror of the witch
13,Arang and the magistrate
14,Ruler master of the mask
15,Cruel romance(Chinese)

Ipi nzuri haipo kwenye list nifanye kuitafuta.
 
Dah ama kweli, mimi tamthilia isiyokuwa na Bunduki na makombora sikai kutazama.
Aina hizo nzuri
1,secret mission
2,cruel romance
3,destinated to love you
hizi zina mkono wa hatari,mabomu n.k,utazipenda sana zitafute mkuu,alafu unipe mrejesho.
 
Habari zenu wakuu,Kwa wale wenzangu na Mimi wapenzi wa drama,katika kuangalia kwangu drama nyingi hatimae nimeamua kuweka top 15,ya drama ambazo nazipenda mno

Hautojuta kuangalia drama hizi.

1,Iljimae
2,Gu family book
3,Boys over flowers
4,king of banking
5,Destinated to love you(Chinese)
6,Journey of flower(Chinese)
7,Legend of Yunxi(Chinese)
8,Princess weiyoung(chinese)
9,Legend of blue sea
10,Goblin
11,Strong woman dobong soo
12,Mirror of the witch
13,Arang and the magistrate
14,Ruler master of the mask
15,Cruel romance(Chinese)

Ipi nzuri haipo kwenye list nifanye kuitafuta.
Kwa hii list mkuu wewe sio mpenz wa drama
Kuna vitu ukiviangalia unafika ad kilelen
 
Nitajitahidi japo za kijasusi sipendelei sana,napenda sana supernatural power drama,Fantasy, horror,love story.
 
Kwa hii list mkuu wewe sio mpenz wa drama
Kuna vitu ukiviangalia unafika ad kilelen
Hahaha umejua kunichekesha,eti unafika kileleni
Vitu gani hivyo mkuu nipe majina nimeangalia drama si chini ya 150,ila ninazozipenda sana ni hizo.
 
Kuna hii inaitwa
Tribes and Empires The Strom of prophecy
Hong Gil Dong
You who come from another star
Empress Ki
My girlfriend is a gumiho
Iris
Athena
Doctor Stranger
Yong Pal
 
Habari zenu wakuu,Kwa wale wenzangu na Mimi wapenzi wa drama,katika kuangalia kwangu drama nyingi hatimae nimeamua kuweka top 15,ya drama ambazo nazipenda mno

Hautojuta kuangalia drama hizi.

1,Iljimae
2,Gu family book
3,Boys over flowers
4,king of banking
5,Destinated to love you(Chinese)
6,Journey of flower(Chinese)
7,Legend of Yunxi(Chinese)
8,Princess weiyoung(chinese)
9,Legend of blue sea
10,Goblin
11,Strong woman dobong soo
12,Mirror of the witch
13,Arang and the magistrate
14,Ruler master of the mask
15,Cruel romance(Chinese)

Ipi nzuri haipo kwenye list nifanye kuitafuta.
Ninazopenda zaidi mpaka sasa;

1. Empress Ki (Korean)

2. Queen Seon Deuk (Korean)

3. Rooftop Prince (Korean)

4. Rebel: Thief Who Stole The People (Korean)

5. Come Back Mister (Korean)

6. Flower In Prison (Korean)

7. King Gwanggaeto The Great (Korean)

8. Cruel Palace (Korean)

9. Jumong (Korean)

10. Six Flying Dragons (Korean)

Ninazopenda nusunusu!

1. Fist Withing Four Walls (Chinese)

2. Shine Or Go Crazy (Korean)

3. I Can Hear Your Voice (Korean)

4. Dong Yi (Korean)

5. Gu Family Book (Korean)

6. Queen In Hyun's Man (Korean)

7. What Happens To My Family (Korean)

8. The Legend Of The Blue Sea (Korean)

9. Suspicious Partner (Korean)

10. My Love From Another Star (Korean)
 
Kuna hii inaitwa
Tribes and Empires The Strom of prophecy
Hong Gil Dong
You who come from another star
Empress Ki
My girlfriend is a gumiho
Iris
Athena
Doctor Stranger
Yong Pal
Iris nimeiangalia nusu,my love from another star nzuri sana hiyo,zilizo baki inabidi nizitafute nicheck.
 
Hahaha umejua kunichekesha,eti unafika kileleni
Vitu gani hivyo mkuu nipe majina nimeangalia drama si chini ya 150,ila ninazozipenda sana ni hizo.
Anza na flozen flower mkuu
Vigezo na mashart vizingatiwe, c umesema unapenda love story
 
Iris nimeiangalia nusu,my love from another star nzuri sana hiyo,zilizo baki inabidi nizitafute nicheck.
Vitu vya mapanga Sha shaa ndio mpango mzima!!
1.Dong Yi
2.Yi San
3.warrior Baek dong Soo
4.Dae Jo Yeung
5.Flower in prison
6. King's Daughter, Soo Baek Hyang
7.Age of warrior
8.Queen Seon Deok
9.Gye Baek
10.Jewel in the palace
11. Mandate of heaven
12. Yeon Gae somun
13.Jang yeong Sil
14.Merchant of Gaekju
15.King Gwangaetto the great

Zingine za kawaida nilizozipenda ni
1.Be strong geum soon
2.3days
3.Giant
4.Inspiring Generations
5.Master's Sun
6.Road no 1
7The Great King's Dream
 
King Gwanggaeto the Great ni balaa. Humo ndani ni full vita na mapanga. Kila episode majenerali yanakutana kudiscuss vita.

Pia kuna Six Flying Dragons kuna master mmoja anapenda kujiremba kama dem anaitwa Gil Tae Mi ni noma kwa Sword fighting! Pia kuna sister mmoja anaitwa Chek Sa Gwan ni noma anatokea kwenye ukoo wa wapiganaji.
 
Bidada anaitwa Chuk sa Gwang
 
Back
Top Bottom