Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,283
- 6,001
Mi napenda sana mbwa, mbwa ni rafiki wa binadamu, mbwa ni wanyama poa sana, wanapenda sana kuwa na uhusiano wa karibu na binadamu, mbwa ana hisi hatari mapema sana na anaweza kukusaidia kweny ulinzi.
Wanyama wengine kama paka ni jau, unaweza dhani unafuga paka kumbe unafuga mtu.
Hivi kwann paka anahusishwa sana na mambo ya uchawi, vilevile watu wengi wanapenda kumtumia kweny mambo ya ushirikina?
Wanyama wengine kama paka ni jau, unaweza dhani unafuga paka kumbe unafuga mtu.
Hivi kwann paka anahusishwa sana na mambo ya uchawi, vilevile watu wengi wanapenda kumtumia kweny mambo ya ushirikina?