Jioni njema...nasubiria UDART niende nyumbani...Umezunguka kichaka balaa mwishoni ndio ukaamua ku-tulia!
Wote huwa wanafanikiwa sema mwanamke mzuri anaeza pata Mali au mafanikio kwa njia ya short cut..ila mwenye sura mbaya kama ulivyosema wengi wao ni wapambanaji sana huwa wanapata mafanikio yao kwa njia za kihalali mkuu.Wana-MMU
Salaam
Wanajamvi Binadamu kila mmoja tumeumbwa kwa maumbile tofauti,tunatofautiana kila kitu,ingawa thamani yetu km Binadamu ni ile ile bila kujali sura,hulka,tabia nk.
Wanawake wasiovutia kwenye macho mengi ya wanaume na hata wanawake wenzao ndiyo ambao huwa wanafanikiwa sana ktk maisha. Iwe ktk Biashara,Elimu,ujasiriamali nk.
Mtu atajiuliza kwa nini wao ndo wanafanikiwa zaidi kuliko wenye mvuto!!? Jibu ni rahisi.
Tangu utotoni sura zao zinapoanza kujitokeza huwa wanafanyiwa mizaha kulingana na sura zao. Kuna mazingira hata mzazi wa mtoto mwenye sura mbaya huingia ktk mtego wa kuichukia sura ya bintie. Mama anaweza kumfokea mtoto wake wa kuzaa kwa kumueleza jinsi alivyo na sura ya kutisha!
Hali hiyo huwa inaendelea hata akiwa anacheza na watoto wenzie. Shuleni pia hali huwa ile ile. Tangu hapo mtoto huanza kujichukia,wanapofikia umri wa kuanza kujitambua,huwa wanaanza kutafuta namna ya kufidia huo udhaifu.
Hatua ambazo huwa wanachukua,ni kuelekeza nguvu ktk kile wanachokifanya. Km ni kusoma huwa wanasoma hasa,km ni biashara wataisimamia ipasavyo. Kila kitu huwa wanafanya kwa bidii km njia ya kufidia kile ambacho wanaamini kinawatenga na wengine.
Huwa waanamini wakifanikiwa kila mtu atawaheshimu. Tatizo lao wakishafanikiwa huwa wanajikuta wanakuwa watu wa visasi bila hata wao wenyewe kujua. Mafanikio yao huwapa jeuri isiyo na kipimo,ni wanyanyasaji sana wa watu walio chini yao. Wakibahatika kupata nafasi kubwa ktk jamii,mwanamke wa aina hii ni hatari kwa anaowaongoza.
Pengine hata yanayoendelea kule Dodoma,huenda kuna mtu mkubwa aliye juu kwa sasa na amepitia madhila hayo ya kutengwa. Shida ya watu km hao hawawezi kuondokana na hilo tatizo kwa sababu hata wao huwa hawajui km wanalipa visasi kwa yale watendayo.
Nawasilisha..!
lakini alichozungumzia ni wale wenye sura mbaya na ulipaji wa visasi ndio maana mama samia mzuri na hata ukimsikiliza unaona kabisa ana roho nzuri na kauli za busaraMbona Samia mzuri..
Zari je...
Prof Mwaikambo vipi...
Mmkosoe mtu kwa hoja.
Mi kuna shangazi zangu ukiwaona utadhani wanaume na wako huko kijijini maisha yamewapiga.
Akili na sura au umbo havina mfanano.
kweli kabisaaaaaaaaaaaWana-MMU
Salaam
Wanajamvi Binadamu kila mmoja tumeumbwa kwa maumbile tofauti,tunatofautiana kila kitu,ingawa thamani yetu km Binadamu ni ile ile bila kujali sura,hulka,tabia nk.
Wanawake wasiovutia kwenye macho mengi ya wanaume na hata wanawake wenzao ndiyo ambao huwa wanafanikiwa sana ktk maisha. Iwe ktk Biashara,Elimu,ujasiriamali nk.
Mtu atajiuliza kwa nini wao ndo wanafanikiwa zaidi kuliko wenye mvuto!!? Jibu ni rahisi.
Tangu utotoni sura zao zinapoanza kujitokeza huwa wanafanyiwa mizaha kulingana na sura zao. Kuna mazingira hata mzazi wa mtoto mwenye sura mbaya huingia ktk mtego wa kuichukia sura ya bintie. Mama anaweza kumfokea mtoto wake wa kuzaa kwa kumueleza jinsi alivyo na sura ya kutisha!
Hali hiyo huwa inaendelea hata akiwa anacheza na watoto wenzie. Shuleni pia hali huwa ile ile. Tangu hapo mtoto huanza kujichukia,wanapofikia umri wa kuanza kujitambua,huwa wanaanza kutafuta namna ya kufidia huo udhaifu.
Hatua ambazo huwa wanachukua,ni kuelekeza nguvu ktk kile wanachokifanya. Km ni kusoma huwa wanasoma hasa,km ni biashara wataisimamia ipasavyo. Kila kitu huwa wanafanya kwa bidii km njia ya kufidia kile ambacho wanaamini kinawatenga na wengine.
Huwa waanamini wakifanikiwa kila mtu atawaheshimu. Tatizo lao wakishafanikiwa huwa wanajikuta wanakuwa watu wa visasi bila hata wao wenyewe kujua. Mafanikio yao huwapa jeuri isiyo na kipimo,ni wanyanyasaji sana wa watu walio chini yao. Wakibahatika kupata nafasi kubwa ktk jamii,mwanamke wa aina hii ni hatari kwa anaowaongoza.
Pengine hata yanayoendelea kule Dodoma,huenda kuna mtu mkubwa aliye juu kwa sasa na amepitia madhila hayo ya kutengwa. Shida ya watu km hao hawawezi kuondokana na hilo tatizo kwa sababu hata wao huwa hawajui km wanalipa visasi kwa yale watendayo.
Nawasilisha..!
82 yrs etihahah unamaana mjengoni kuna mwenye sura mbaya alipa visasi au? ila mbona mi nasura mbaya juhudi zangu naelekeza kwenye kuirekebisha japo sipew marks.