Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,254
- 44,113
Yaani wewe ukiwa mwanaume kwenye ndoa wewe ndio mwamzi, uzaw wawili, watatu au Sita.
Lakini kwa Upande wa Mwanamke kipaumbele chake ni watoto wengi tena wakutosha. Na ikiwa una kipato kizuri Mwanaume acha kujibana bana. Kuzaa kunazeesha wasio na hela.
Hata Ulaya ukipost Picha ya Mwanamke mwenye watoto Kuanzia wanne hadi sita huku akiwa na Mume wake pembeni utaona Social Media zote zina muadmire na kwa wanawake wanatamani huyo Mwanaume angekuwa wake.
Kwanza ktk Instinct za Wanawake wanaamini Mwanaume anayezaa sana ni Mtu aliyeko tayari kubeba wajibu. Ni mwajibikaji hata kama baadae mambo yanaweza kuwa kinyume.
Pamoja na kwamba kwa nyakati za sasa kuzaa watoto wengi kunaweza kuwa na changa moto za kuwatimizia mahitaji kama malazi, shule, chakula na afya lakini ukizaa wengi ni faida sana.
Professa mmoja wa chuo kikuu maarufu nilikutana naye tukawa tunaongelea maswala ya Kifamilia. Aliniambua alizaa watoto wawili na mmoja amefariki. Kwa hiyo kabaki na mmoja. Mke wa Prof hazai tena sababu ya umri. Prof ana mali nyingi, majumba, magari na ardhi za kutosha.
Anatamani awe na watoto wengi wafaidi ngugu yake aliyopambania ktk kipindi chote cha ujana wake.
Ewe mwanaume usiogope kuzaa kama una kipato.
Mzee mmoja tajiri hapo Serengeti alizaa watoto wawili, wa kike na kiume.
Huyu wa kiume sio shoga lakini anakula mashoga balaa kiufupi na yeye ni shoga. Yule wa kike ni mzuri sana. Hajaolewa analiwa ba vibabu kuanzia vyenye miaka 60 kwenda mbele as long as vina hela ya kumwaga. Yaani maisha vululuvululu.