Wanawake wengi kwa kujua au kutokujua hujikuta wakifanya vitimbi kwa wenza wao kwa njia zifuatazo

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
14,998
31,281
1.KUPIMA UWEZO WA MWANAUME KUJIAMINI (confidence test)

Mwanamke yeyote hupenda kupima uwezo wa kujiamini wa mwanaume wake.

Njia wanazotumia kufanikisha hilo sasa hutegemea makuzi na malezi yake, wengi wao hutumia kumdhalilisha mwanaume hadharani, kumfokea, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia, kumwambia mwanaume ni mshamba kumwambia mwanaume "Hauna hadhi ya kuwa na mimi",

Hapa anafanya makusudi sio bahati mbaya.

Makosa ambayo wanaume wengi hufanya ni kupaniki, kuanza kumdhalilisha hadharani mwanamke kama kisasi, kumfokea, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia, kumjibu vibaya, wengine huomba msamaha, kuanza kulia, kunyenyekea sana ukifanya hivi moja kwa moja mwanamke anakuona DHAIFU,anakuona hauna akili timamu kisha anazidisha vituko na dharau kwa makusudi.

Nini kifanyike.....

Epuka kumuonesha hasira ,epuka kupaniki,epuka kuomba msamaha,epuka kuanza kulia.

Muone ni mwanamke kama walivyo wanawake wengine haijalishi ni milionea,ni msomi,ni mzuri kiasi gani epuka kumuona ni mwanamke wa kipekee hapa ulimwenguni atakudharau moja kwa moja

Ongea nae kwa utulivu,muone ni mwanamke wa kawaida kama walivyo wanawake wengine, Mwambie "Nakuheshimu, sihitaji tuvunjiane heshima, kisha mtazame usoni mwake kwa sekunde kadhaa bila kuongeza neno lolote.

Baada ya hapo atakuwa na machaguo kuomba msamaha au aondoke kwa aibu.

Usimpe vitisho wala usimpe ushauri wowote.

2.KUPIMA UANAUME WA MWANAUME (DOMINANCE TEST)
Hapa wanaume legelege (passive men) hukumbana na jaribio hili mara kwa mara.

Mwanamke Dikteta,mbabe, mgomvi ,mwenye lugha ya udhalilishaji na kutaka kumtawala mwanaume huonyesha tabia za kutaka kumtawala mwanaume ndani ya nyumba kwa njia zifuatazo

Atamwambia mwanaume "Chagua mimi au mama yako mzazi",,, kisha ikitokea ugomvi atasema "sitaki ulale kitanda kimoja na mimi nenda ulale sebuleni au chini sakafuni"

Atasema kwa lugha ya udhalilishaji na ubabe "toa password za simu yako,kisha atasema "nataka kiasi kadhaa cha fedha ili tuendelee kuwa pamoja kama hauna fedha kiasi XYZ tuachane "

Pia anaweza kutishia muachane mara kwa mara, anaweza kumwambia mwanaume "leta pesa zako za mshahara nipange matumizi kama huwezi bora tuachane"

Pia anaweza kusema "Ili tuishi pamoja nipe kiasi kadhaa cha fedha au nataka unijengee kwanza kama hauwezi basi tuachane "

Jamani sitawaambia kila kitu
Mwanaume kamili siku zote akiona mwanamke anataka kujipa uanaume ndani ya nyumba papohapo mahusiano yanavunjika hakuna maelezo yoyote.

Njia pekee ya kukabiliana na mwanamke wa aina hii ni kumuacha papohapo aondoke arudi kwa wazazi wake.

Wanawake wa kundi hili wengi wamelelewa na Mama mwenye sauti nyumbani au wamepata baba legelege ambaye hajielewi, wengi hupata baba legelege (Passive father) baba ambaye hana kauli yoyote ndani ya nyumba,kwa kifupi mwenye kauli ya mwisho huwa mama.

Sasa usipokuwa makini unaenda kuwa baba legelege kwa wanao.

Kosa la kuepuka ni kumpa ushauri,kuanza kulia, kumnyenyekea,kumpa mahitaji yake yote kwa 100% ukifanya kosa hili atakuwa na KIBURI na majivuno hata kitandani hauwezi kumgusa. Hawezi kubadilika hata siku moja.

3.KUPIMA WIVU WA MWANAUME & MIPAKA YA MWANAUME
Hapa mwanamke atapima wivu wa mwanaume kwa kusema yafuatayo

"Kuna mwanaume ananitongoza" hapa anataka kuona kama upo na hofu ya kusalitiwa, anaweza kupiga simu kuongea na wanaume wengi mpaka saa nane za usiku, anaweza kuanza kusimulia habari za "ex" wake ili uone wivu

Anaweza kuzungumza na wanaume wengi mbele yako kwa makusudi.

Ufumbuzi wake huyu wa hivi sawa yake ni usimjibu chochote wala usioneshe hasira mbele yake epuka kupaniki,badala yake kwa utulivu kabisa ondoka eneo la tukio.

Muone ni mwanamke wa kawaida kama walivyo wanawake wengine,ukionyesha wivu tu anapata kiburi na atafanya vituko mara kwa mara mkiwa wawili mwambie

"Nakuheshimu, sihitaji tuvunjiane heshima, nakupenda sana lakini ninaweza kukuacha muda wowote ukiwa hauna heshima kwangu " ajue yeye ni mwanamke kama walivyo wanawake wengine

Anaweza kukuomba fedha nyingi sana au kuomba aende sehemu yoyote lengo ukatae ikiwa kila ombi lake unakubali utaona anazidi kukuchukia wakati mahitaji yake yote unampa

Wakati mwengine wanawake wanaomba pesa sio lengo lake umpe pesa bali ukatae tu ajisikie kuwa ndani kuna mwanaume.

Ukimpa kila kitu siku bila kuchelewa hata sekunde ataondoka kwa sababu ataona hakuna mwanaume ndani ...😜 hapa wengi mtabisha 😃🤣

4.KUTAFUTA SABABU MUACHANE (Nuclear test)
Pale ambapo mwanamke anataka muachane huwa anakuja na tabia za ajabu ajabu kila siku anaibua ugomvi bila sababu zozote za msingi lengo uibuke ugomvi muachane.

Wengi wanataka muachane kwa ugomvi ili uteseke akiwa mbali. Tabia zifuatazo huwa viashiria mwanamke anataka muachane kufoka, kutukana, kukujibu vibaya, kutishia muachane mara kwa mara,kukaa kimya bila maelezo yoyote muda mrefu,kukujibu kwa ukali sana hata ukiongea kwa kunyenyekea,kuanzisha mawasiliano na "ex" wake.

Anaweza kutongozwa na wanaume wengine mbele yako kwa makusudi kisha ukihoji anasema hakuna kitu chochote kinaendelea baina yao.

anaweza kuchelewa kurudi nyumbani,ataunguza chakula,atalala na nguo nzito ili usimguse,atakuomba fedha nyingi sana ghafla ili ushindwe muachane,ataharibu haribu mali zako kwa makusudi,ataenda kukushitaki mara kwa mara na kuzusha uongo juu yako,atakupa kesi za uongo kila siku ili muachane.

Akifanya haya hataki ushauri,hataki risala ,hataki vitisho vya maisha yake kuwa magumu

UFUMBUZI WAKE
Kama kawaida dont panic, usimshauri usimkosoe na wala usimnyenyekee badala yake mpe kile anataka mwache aende

Ukiona vituko kila kukicha,mwambie aende akapate furaha ambayo anahisi kwako amekosa.

5.KUKAA KIMYA BILA MAELEZO YOYOTE (Unexplained distance)
Mwanamke anaweza kukaa kimya bila maelezo yoyote muda mrefu kama mnaishi nyumba tofauti, wilaya, mikoa au nchi tofauti. Unapiga simu mfululizo hapokei, sms hajibu, hakutafuti mpaka uanze wewe, ukikaa kimya na yeye anakaa kimya,yupo online lakini hajibu sms wala simu hapokei.

UFUMBUZI WAKE
Epuka kutuma pesa ili kumshawishi badala yake kaa kimya mara mbili ya muda ambao amekaa kimya yeye.
Onesha kwamba ukimya wake haujaleta madhara yoyote kwako,onesha kwamba ukimya wake kwako ni fursa ya mafanikio,onesha kwamba umekuwa na furaha sana kwa ukimya wake wala sio upweke kama ambavyo anataka uteseke.

Faida za kukaa kimya ni kwamba atamiss uwepo wako,atajua pengo lako kwake lipoje,atajua thamani yako, atajua kwamba yeye sio kila kitu kwako,ataju kwamba unaweza kuishi bila yeye na maisha yako yanaendelea vizuri. Atagundua kwamba hana umuhimu mkubwa kwako kama alivyotaka kukuaminisha.

Kama alikuwa anataka muachane atakuwa ameondoka kwa amani na utakuwa umeokoa fedha zako na muda wako.
Kama alikuwa anakupima atakuja na visingizio vyake kibao.

Pale ambapo mwanamke anakaa kimya bila maelezo yoyote zidisha muda ambao amekaa kimya mara mbili kisha tumia muda huo kwa shughuli zako binafsi za maendeleo.

6.KUVUNJA MAKUBALIANO GHAFLA (FLAKE TEST)
Hapa mwanamke huonyesha tabia kama kuvunja mahusiano ghafla.
Kwa mfano umekubaliana nae kwamba mtaenda sehemu XYZ muda ABC kisha baada ya makubaliano mwenza wako anasubiri nusu saa kabla ya muda wa makubaliano anazima simu au anatuma sms kwamba amepata dharura.

Kuzima simu au kutuma sms ya dharura kuna sababu 3 nazo ni
I. Hana hisia zozote kwako lakini hana ujasiri wa kusema
II. Anakujaribu ili kupima tabia yako
III. Ipo sababu ya dharura kwa muda huo

UFUMBUZI WAKE
Usipanic,badala yake kaa kimya kama amezima simu,au jibu sms kwa kukubali dharura yake bila maelezo yoyote.

Kama alikuwa anakupima atakuja mwenyewe na visingizio kibao baadaye,kama alikuwa anataka muachane utakuwa umeokoa fedha zako na muda wako.

Epuka kupanga "appointment" nyingine muache yeye mwenyewe afanye maamuzi,akikaa kimya heshimu maamuzi yake.

PS: hizi tabia hujitokeza hata kwa baadhi ya WANAUME hivo dawa ni ile ile , mwanamke ukiona mwenza anapigo za dizaini hii basi dawa ni hiyo.

Malkia Wa Kiha

Hanifa Kafashe
 
Makosa ambayo wanaume wengi hufanya ni
Kupaniki,kuanza kumdhalilisha hadharani mwanamke kama kisasi, kumfokea, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia,kumjibu vibaya ,wengine huomba msamaha,kuanza kulia, kunyenyekea sana ukifanya hivi moja kwa moja mwanamke anakuona DHAIFU,anakuona hauna akili timamu kisha anazidisha vituko na dharau kwa makusudi.

Nini kifanyike.....

Epuka kumuonesha hasira ,epuka kupaniki,epuka kuomba msamaha,epuka kuanza kulia.

Muone ni mwanamke kama walivyo wanawake wengine haijalishi ni milionea,ni msomi,ni mzuri kiasi gani epuka kumuona ni mwanamke wa kipekee hapa ulimwenguni atakudharau moja kwa moja

Ongea nae kwa utulivu,muone ni mwanamke wa kawaida kama walivyo wanawake wengine,
Mwambie "Nakuheshimu, sihitaji tuvunjiane heshima, kisha mtazame usoni mwake kwa sekunde kadhaa bila kuongeza neno lolote.

Baada ya hapo atakuwa na machaguo kuomba msamaha au aondoke kwa aibu.
Usimpe vitisho wala usimpe ushauri wowote.

2.KUPIMA UANAUME WA MWANAUME (DOMINANCE TEST)
Hapa wanaume legelege (passive men) hukumbana na jaribio hili mara kwa mara.

Mwanamke Dikteta,mbabe, mgomvi ,mwenye lugha ya udhalilishaji na kutaka kumtawala mwanaume huonyesha tabia za kutaka kumtawala mwanaume ndani ya nyumba kwa njia zifuatazo

Atamwambia mwanaume "Chagua mimi au mama yako mzazi",,, kisha ikitokea ugomvi atasema "sitaki ulale kitanda kimoja na mimi nenda ulale sebuleni au chini sakafuni"

Atasema kwa lugha ya udhalilishaji na ubabe "toa password za simu yako,kisha atasema "nataka kiasi kadhaa cha fedha ili tuendelee kuwa pamoja kama hauna fedha kiasi XYZ tuachane "

Pia anaweza kutishia muachane mara kwa mara, anaweza kumwambia mwanaume "leta pesa zako za mshahara nipange matumizi kama huwezi bora tuachane"

Pia anaweza kusema "Ili tuishi pamoja nipe kiasi kadhaa cha fedha au nataka unijengee kwanza kama hauwezi basi tuachane "

Jamani sitawaambia kila kitu
Mwanaume kamili siku zote akiona mwanamke anataka kujipa uanaume ndani ya nyumba papohapo mahusiano yanavunjika hakuna maelezo yoyote.

Njia pekee ya kukabiliana na mwanamke wa aina hii ni kumuacha papohapo aondoke arudi kwa wazazi wake.

Wanawake wa kundi hili wengi wamelelewa na Mama mwenye sauti nyumbani au wamepata baba legelege ambaye hajielewi,
Wengi hupata baba legelege (Passive father) baba ambaye hana kauli yoyote ndani ya nyumba,kwa kifupi mwenye kauli ya mwisho huwa mama.
Sasa usipokuwa makini unaenda kuwa baba legelege kwa wanao.

Kosa la kuepuka ni kumpa ushauri,kuanza kulia, kumnyenyekea,kumpa mahitaji yake yote kwa 100% ukifanya kosa hili atakuwa na KIBURI na majivuno hata kitandani hauwezi kumgusa .
Hawezi kubadilika hata siku moja.

3.KUPIMA WIVU WA MWANAUME & MIPAKA YA MWANAUME
Hapa mwanamke atapima wivu wa mwanaume kwa kusema yafuatayo

"Kuna mwanaume ananitongoza" hapa anataka kuona kama upo na hofu ya kusalitiwa, anaweza kupiga simu kuongea na wanaume wengi mpaka saa nane za usiku, anaweza kuanza kusimulia habari za "ex" wake ili uone wivu

Anaweza kuzungumza na wanaume wengi mbele yako kwa makusudi.

Ufumbuzi wake
Huyu wa hivi sawa yake ni usimjibu chochote wala usioneshe hasira mbele yake epuka kupaniki,badala yake kwa utulivu kabisa ondoka eneo la tukio .

Muone ni mwanamke wa kawaida kama walivyo wanawake wengine,ukionyesha wivu tu anapata kiburi na atafanya vituko mara kwa mara.
Mkiwa wawili mwambie

"Nakuheshimu, sihitaji tuvunjiane heshima, nakupenda sana lakini ninaweza kukuacha muda wowote ukiwa hauna heshima kwangu " ajue yeye ni mwanamke kama walivyo wanawake wengine

Anaweza kukuomba fedha nyingi sana au kuomba aende sehemu yoyote lengo ukatae ikiwa kila ombi lake unakubali utaona anazidi kukuchukia wakati mahitaji yake yote unampa

Wakati mwengine wanawake wanaomba pesa sio lengo lake umpe pesa bali ukatae tu ajisikie kuwa ndani kuna mwanaume.

Ukimpa kila kitu siku bila kuchelewa hata sekunde ataondoka kwa sababu ataona hakuna mwanaume ndani ...😜 hapa wengi mtabisha 😃🤣

4.KUTAFUTA SABABU MUACHANE (Nuclear test)
Pale ambapo mwanamke anataka muachane huwa anakuja na tabia za ajabu ajabu kila siku anaibua ugomvi bila sababu zozote za msingi lengo uibuke ugomvi muachane.

Wengi wanataka muachane kwa ugomvi ili uteseke akiwa mbali.
Tabia zifuatazo huwa viashiria mwanamke anataka muachane
Kufoka, kutukana, kukujibu vibaya, kutishia muachane mara kwa mara,kukaa kimya bila maelezo yoyote muda mrefu,kukujibu kwa ukali sana hata ukiongea kwa kunyenyekea,kuanzisha mawasiliano na "ex" wake ,

Anaweza kutongozwa na wanaume wengine mbele yako kwa makusudi kisha ukihoji anasema hakuna kitu chochote kinaendelea baina yao.

anaweza kuchelewa kurudi nyumbani,ataunguza chakula,atalala na nguo nzito ili usimguse,atakuomba fedha nyingi sana ghafla ili ushindwe muachane,ataharibu haribu mali zako kwa makusudi,ataenda kukushitaki mara kwa mara na kuzusha uongo juu yako,atakupa kesi za uongo kila siku ili muachane.

Akifanya haya hataki ushauri,hataki risala ,hataki vitisho vya maisha yake kuwa magumu

UFUMBUZI WAKE
Kama kawaida dont panic, usimshauri usimkosoe na wala usimnyenyekee badala yake mpe kile anataka mwache aende

Ukiona vituko kila kukicha,mwambie aende akapate furaha ambayo anahisi kwako amekosa.

5.KUKAA KIMYA BILA MAELEZO YOYOTE (Unexplained distance)
Mwanamke anaweza kukaa kimya bila maelezo yoyote muda mrefu kama mnaishi nyumba tofauti, wilaya, mikoa au nchi tofauti.
unapiga simu mfululizo hapokei, sms hajibu, hakutafuti mpaka uanze wewe, ukikaa kimya na yeye anakaa kimya,yupo online lakini hajibu sms wala simu hapokei.

UFUMBUZI WAKE
Epuka kutuma pesa ili kumshawishi
Badala yake kaa kimya mara mbili ya muda ambao amekaa kimya yeye.
Onesha kwamba ukimya wake haujaleta madhara yoyote kwako,onesha kwamba ukimya wake kwako ni fursa ya mafanikio,onesha kwamba umekuwa na furaha sana kwa ukimya wake wala sio upweke kama ambavyo anataka uteseke.

Faida za kukaa kimya ni kwamba atamiss uwepo wako,atajua pengo lako kwake lipoje,atajua thamani yako,atajua kwamba yeye sio kila kitu kwako,ataju kwamba unaweza kuishi bila yeye na maisha yako yanaendelea vizuri.
Atagundua kwamba hana umuhimu mkubwa kwako kama alivyotaka kukuaminisha.

Kama alikuwa anataka muachane atakuwa ameondoka kwa amani na utakuwa umeokoa fedha zako na muda wako.
Kama alikuwa anakupima atakuja na visingizio vyake kibao.

Pale ambapo mwanamke anakaa kimya bila maelezo yoyote zidisha muda ambao amekaa kimya mara mbili kisha tumia muda huo kwa shughuli zako binafsi za maendeleo.

6.KUVUNJA MAKUBALIANO GHAFLA (FLAKE TEST)
Hapa mwanamke huonyesha tabia kama kuvunja mahusiano ghafla.
Kwa mfano umekubaliana nae kwamba mtaenda sehemu XYZ muda ABC kisha baada ya makubaliano mwenza wako anasubiri nusu saa kabla ya muda wa makubaliano anazima simu au anatuma sms kwamba amepata dharura.

Kuzima simu au kutuma sms ya dharura kuna sababu 3 nazo ni
I.Hana hisia zozote kwako lakini hana ujasiri wa kusema
II.Anakujaribu ili kupima tabia yako
III.Ipo sababu ya dharura kwa muda huo

UFUMBUZI WAKE
Usipanic,badala yake kaa kimya kama amezima simu,au jibu sms kwa kukubali dharura yake bila maelezo yoyote.

Kama alikuwa anakupima atakuja mwenyewe na visingizio kibao baadaye,kama alikuwa anataka muachane utakuwa umeokoa fedha zako na muda wako.
Epuka kupanga "appointment" nyingine muache yeye mwenyewe afanye maamuzi,akikaa kimya heshimu maamuzi yake.

PS: hizi tabia hujitokeza hata kwa baadhi ya WANAUME hivo dawa ni ile ile , mwanamke ukiona mwenza anapigo za dizaini hii basi dawa ni hiyo.

Malkia Wa Kiha

Hanifa Kafashe
Umeandika kweliii. Zone ya nguvu na utawala ni logic kwa mwanaume, kwa mwanamke ni Hisia.

Mwanamke atakuchapa sanaa, kama akiweza kukuvuta upande wake wa kukufanya uwe emotional, Maana ndio uwanja wake wa nyumbani
( Shika mind yako na moyo wako usicatch feelings).

Uwanja wako ni logic, tumia akili, wanawake wana akili nyingi sanaaa. na hawafanyi kitu kama mafala🤣, Usiingie ktk arguments,hutoboi. Wanaweza kuamua tu, kujifanya hoja yako haija make sensi na waka ku drag ktk uwanja wake wa emotions.

Ukiona uwaelewi wanawake,basi umeeanza kuwaelewa, hawaeleweki.
 
1.KUPIMA UWEZO WA MWANAUME KUJIAMINI (confidence test)

Mwanamke yeyote hupenda kupima uwezo wa kujiamini wa mwanaume wake.

Njia wanazotumia kufanikisha hilo sasa hutegemea makuzi na malezi yake, wengi wao hutumia kumdhalilisha mwanaume hadharani, kumfokea, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia, kumwambia mwanaume ni mshamba kumwambia mwanaume "Hauna hadhi ya kuwa na mimi",

Hapa anafanya makusudi sio bahati mbaya.

Makosa ambayo wanaume wengi hufanya ni kupaniki, kuanza kumdhalilisha hadharani mwanamke kama kisasi, kumfokea, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia, kumjibu vibaya, wengine huomba msamaha, kuanza kulia, kunyenyekea sana ukifanya hivi moja kwa moja mwanamke anakuona DHAIFU,anakuona hauna akili timamu kisha anazidisha vituko na dharau kwa makusudi.

Nini kifanyike.....

Epuka kumuonesha hasira ,epuka kupaniki,epuka kuomba msamaha,epuka kuanza kulia.

Muone ni mwanamke kama walivyo wanawake wengine haijalishi ni milionea,ni msomi,ni mzuri kiasi gani epuka kumuona ni mwanamke wa kipekee hapa ulimwenguni atakudharau moja kwa moja

Ongea nae kwa utulivu,muone ni mwanamke wa kawaida kama walivyo wanawake wengine, Mwambie "Nakuheshimu, sihitaji tuvunjiane heshima, kisha mtazame usoni mwake kwa sekunde kadhaa bila kuongeza neno lolote.

Baada ya hapo atakuwa na machaguo kuomba msamaha au aondoke kwa aibu.

Usimpe vitisho wala usimpe ushauri wowote.

2.KUPIMA UANAUME WA MWANAUME (DOMINANCE TEST)
Hapa wanaume legelege (passive men) hukumbana na jaribio hili mara kwa mara.

Mwanamke Dikteta,mbabe, mgomvi ,mwenye lugha ya udhalilishaji na kutaka kumtawala mwanaume huonyesha tabia za kutaka kumtawala mwanaume ndani ya nyumba kwa njia zifuatazo

Atamwambia mwanaume "Chagua mimi au mama yako mzazi",,, kisha ikitokea ugomvi atasema "sitaki ulale kitanda kimoja na mimi nenda ulale sebuleni au chini sakafuni"

Atasema kwa lugha ya udhalilishaji na ubabe "toa password za simu yako,kisha atasema "nataka kiasi kadhaa cha fedha ili tuendelee kuwa pamoja kama hauna fedha kiasi XYZ tuachane "

Pia anaweza kutishia muachane mara kwa mara, anaweza kumwambia mwanaume "leta pesa zako za mshahara nipange matumizi kama huwezi bora tuachane"

Pia anaweza kusema "Ili tuishi pamoja nipe kiasi kadhaa cha fedha au nataka unijengee kwanza kama hauwezi basi tuachane "

Jamani sitawaambia kila kitu
Mwanaume kamili siku zote akiona mwanamke anataka kujipa uanaume ndani ya nyumba papohapo mahusiano yanavunjika hakuna maelezo yoyote.

Njia pekee ya kukabiliana na mwanamke wa aina hii ni kumuacha papohapo aondoke arudi kwa wazazi wake.

Wanawake wa kundi hili wengi wamelelewa na Mama mwenye sauti nyumbani au wamepata baba legelege ambaye hajielewi, wengi hupata baba legelege (Passive father) baba ambaye hana kauli yoyote ndani ya nyumba,kwa kifupi mwenye kauli ya mwisho huwa mama.

Sasa usipokuwa makini unaenda kuwa baba legelege kwa wanao.

Kosa la kuepuka ni kumpa ushauri,kuanza kulia, kumnyenyekea,kumpa mahitaji yake yote kwa 100% ukifanya kosa hili atakuwa na KIBURI na majivuno hata kitandani hauwezi kumgusa. Hawezi kubadilika hata siku moja.

3.KUPIMA WIVU WA MWANAUME & MIPAKA YA MWANAUME
Hapa mwanamke atapima wivu wa mwanaume kwa kusema yafuatayo

"Kuna mwanaume ananitongoza" hapa anataka kuona kama upo na hofu ya kusalitiwa, anaweza kupiga simu kuongea na wanaume wengi mpaka saa nane za usiku, anaweza kuanza kusimulia habari za "ex" wake ili uone wivu

Anaweza kuzungumza na wanaume wengi mbele yako kwa makusudi.

Ufumbuzi wake huyu wa hivi sawa yake ni usimjibu chochote wala usioneshe hasira mbele yake epuka kupaniki,badala yake kwa utulivu kabisa ondoka eneo la tukio.

Muone ni mwanamke wa kawaida kama walivyo wanawake wengine,ukionyesha wivu tu anapata kiburi na atafanya vituko mara kwa mara mkiwa wawili mwambie

"Nakuheshimu, sihitaji tuvunjiane heshima, nakupenda sana lakini ninaweza kukuacha muda wowote ukiwa hauna heshima kwangu " ajue yeye ni mwanamke kama walivyo wanawake wengine

Anaweza kukuomba fedha nyingi sana au kuomba aende sehemu yoyote lengo ukatae ikiwa kila ombi lake unakubali utaona anazidi kukuchukia wakati mahitaji yake yote unampa

Wakati mwengine wanawake wanaomba pesa sio lengo lake umpe pesa bali ukatae tu ajisikie kuwa ndani kuna mwanaume.

Ukimpa kila kitu siku bila kuchelewa hata sekunde ataondoka kwa sababu ataona hakuna mwanaume ndani ... hapa wengi mtabisha

4.KUTAFUTA SABABU MUACHANE (Nuclear test)
Pale ambapo mwanamke anataka muachane huwa anakuja na tabia za ajabu ajabu kila siku anaibua ugomvi bila sababu zozote za msingi lengo uibuke ugomvi muachane.

Wengi wanataka muachane kwa ugomvi ili uteseke akiwa mbali. Tabia zifuatazo huwa viashiria mwanamke anataka muachane kufoka, kutukana, kukujibu vibaya, kutishia muachane mara kwa mara,kukaa kimya bila maelezo yoyote muda mrefu,kukujibu kwa ukali sana hata ukiongea kwa kunyenyekea,kuanzisha mawasiliano na "ex" wake.

Anaweza kutongozwa na wanaume wengine mbele yako kwa makusudi kisha ukihoji anasema hakuna kitu chochote kinaendelea baina yao.

anaweza kuchelewa kurudi nyumbani,ataunguza chakula,atalala na nguo nzito ili usimguse,atakuomba fedha nyingi sana ghafla ili ushindwe muachane,ataharibu haribu mali zako kwa makusudi,ataenda kukushitaki mara kwa mara na kuzusha uongo juu yako,atakupa kesi za uongo kila siku ili muachane.

Akifanya haya hataki ushauri,hataki risala ,hataki vitisho vya maisha yake kuwa magumu

UFUMBUZI WAKE
Kama kawaida dont panic, usimshauri usimkosoe na wala usimnyenyekee badala yake mpe kile anataka mwache aende

Ukiona vituko kila kukicha,mwambie aende akapate furaha ambayo anahisi kwako amekosa.

5.KUKAA KIMYA BILA MAELEZO YOYOTE (Unexplained distance)
Mwanamke anaweza kukaa kimya bila maelezo yoyote muda mrefu kama mnaishi nyumba tofauti, wilaya, mikoa au nchi tofauti. Unapiga simu mfululizo hapokei, sms hajibu, hakutafuti mpaka uanze wewe, ukikaa kimya na yeye anakaa kimya,yupo online lakini hajibu sms wala simu hapokei.

UFUMBUZI WAKE
Epuka kutuma pesa ili kumshawishi badala yake kaa kimya mara mbili ya muda ambao amekaa kimya yeye.
Onesha kwamba ukimya wake haujaleta madhara yoyote kwako,onesha kwamba ukimya wake kwako ni fursa ya mafanikio,onesha kwamba umekuwa na furaha sana kwa ukimya wake wala sio upweke kama ambavyo anataka uteseke.

Faida za kukaa kimya ni kwamba atamiss uwepo wako,atajua pengo lako kwake lipoje,atajua thamani yako, atajua kwamba yeye sio kila kitu kwako,ataju kwamba unaweza kuishi bila yeye na maisha yako yanaendelea vizuri. Atagundua kwamba hana umuhimu mkubwa kwako kama alivyotaka kukuaminisha.

Kama alikuwa anataka muachane atakuwa ameondoka kwa amani na utakuwa umeokoa fedha zako na muda wako.
Kama alikuwa anakupima atakuja na visingizio vyake kibao.

Pale ambapo mwanamke anakaa kimya bila maelezo yoyote zidisha muda ambao amekaa kimya mara mbili kisha tumia muda huo kwa shughuli zako binafsi za maendeleo.

6.KUVUNJA MAKUBALIANO GHAFLA (FLAKE TEST)
Hapa mwanamke huonyesha tabia kama kuvunja mahusiano ghafla.
Kwa mfano umekubaliana nae kwamba mtaenda sehemu XYZ muda ABC kisha baada ya makubaliano mwenza wako anasubiri nusu saa kabla ya muda wa makubaliano anazima simu au anatuma sms kwamba amepata dharura.

Kuzima simu au kutuma sms ya dharura kuna sababu 3 nazo ni
I. Hana hisia zozote kwako lakini hana ujasiri wa kusema
II. Anakujaribu ili kupima tabia yako
III. Ipo sababu ya dharura kwa muda huo

UFUMBUZI WAKE
Usipanic,badala yake kaa kimya kama amezima simu,au jibu sms kwa kukubali dharura yake bila maelezo yoyote.

Kama alikuwa anakupima atakuja mwenyewe na visingizio kibao baadaye,kama alikuwa anataka muachane utakuwa umeokoa fedha zako na muda wako.

Epuka kupanga "appointment" nyingine muache yeye mwenyewe afanye maamuzi,akikaa kimya heshimu maamuzi yake.

PS: hizi tabia hujitokeza hata kwa baadhi ya WANAUME hivo dawa ni ile ile , mwanamke ukiona mwenza anapigo za dizaini hii basi dawa ni hiyo.

Malkia Wa Kiha

Hanifa Kafashe
Interesting
 
Ku deal na hivi viume ke Mimi naona hakuna formula
 
Back
Top Bottom