Wanawake wanataka hiki kwa mwanaume

B40

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
820
537
Watu wengi hudhani Na ndivyo tulivyoaminishwa katika magazeti,majalida Na runinga kuwa wanawake humpenda Na kuvutiwa Na mwanaume mwenye pesa,sura nzuri umaarufu au mwili Wa kimazoezi.

Pia tumeaminishwa kuwa mtu akiwa hana pesa, sura mbaya,aside Na umaarafu wowote hana nafasi kumvutia mwanamke.

Hivi hujawahi ona mwanamke mzuri sana lakini mwanaume wake ni hamorapa,yani hawaendani kama mbingu Na ardhi?ushajiuliza kwanini?

Ndio mwanamke anaweza kuvutiwa Na mwanaume sababu ya pesa au muonekano ila Mara nyingi huwa mapenzi haya hayadumu.

Kama unataka kuwa chaguo la kila Mrembo basi unapaswa kujua kua wanawake wana mwanaume wanayemtaka kabla hata hajakutana
Nae.

Kwa huu mchezo nitakao kufundisha kuwa Na uhakika Wa kula matawi ya juu Na sio ya chini,ng'oa watoto wakali Na wenye hadhi kuliko wewe.

Usiishie kuchukua Wa tandale au mikoroshini tu,vuka boda nenda masaki, mbezi,osterbay Na hata
Majuu.

Siri ni hii wanawake wote wanapenda Na kuvutiwa Na mwanaume anayevutia wanawake wenzie!! Usishangae huo ndio ukweli mwanakwetu.

Nitakupa mfano kuna samaki anaitwa goldfish, huyu akitaka kupandwa ili azae hua anachagua dume mwenye ranging za kumetameta kuliko madume mengine.sasa ikiwa kukatokea madume mawili yakaonekana yana rangi hiyo,majike yote hata yawe elfu tatu yatapandwa Na dume
hao wawili tu!!

Sasa utajiuliza je wanawake wanamtambuaje huyo mwanaume?
Ukweli ni kuwa wanawake hawajui ila wanahisi tu labda labda!!

Ili mwanamke ahisi kuwa wewe una listi ya wanawake wanakufatilia au wanakutaka Fanya yafuatayo ngosha

1.Msimulie stori za warembo uliowagegeda!!
Mwambie namna ulivyolala Na wanawake wazuri kama yeye au waliomzidi.
Jamaa mmoja akaniambia eti anaweza onekana Malaya!ukweli hii itakuongezea mvuto haijalishi anasema nini.

2.Picha
Muoneshe picha ulizopiga Na warembo katika simu yako.au ukurasa wako Wa Facebook.hii itamshawishi kuna kitu kukuhusu ambacho wanawake hao wanakipenda hivyo naye atakitaka.
Mtaani kwetu kulikuwa Na jamaa mmoja, ambaye mwanamke hivi alisema jamaa anavaa shanga ,basi kila mwanamke alitaka kujua kama ni kweli ,matokeo yake yule jamaa aliwalala wanawake wengi mno.

3.Usimsifie sifie
Iwapo hutamsifia kama zuzu ,atajua wewe ni mtu uliezoea kuwa Na warembo hivyo huoni ajabu,sikufichi wanawake warembo wameshasifiwa sana,jioneshe wewe sio walewale.

Kwa kufanya haya utamjengea imani kuwa wewe Na asali ya warembo naye atataka kuonja.
 
Kuna kwa ukweri flani hivi. Na hii kwa wale maplay boy anagonga mtu na rafk yake huku mmoja akiwa anajua
 
Reactions: SDG
Ukweli mtupu! Nilikuwa na dem mkali sana pini pini kweli alafu mjanja yani ana ushawishi kwa wenzake alikolea kwangu sio kawaida kwao hakai mda wote yuko kwangu nimekuwa maarufu mtaani kupitia yeye sasa hao madada huko mtaani nilikuwa sitongozi wanajiweka wenyewe tu mpaka najiuliza kwani nna nini siku hizi
 
Ni hivyo mkuu
 
Tena unaweza kuishi kwa nafsi,unakuwa Na ukaribu Na demu mkali sana hata kama ni rafiki tu unaweza kuwavuta wengi sana
 
Nahisi shetani anakutamani had umefikia hapa, hakuna mahusiano yaliyofanikiwa kwa ulichokieleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…