Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,061
Wanawake wafupi hawajawahi kumwacha mwanaume salama!japokuwa asilimia kubwa wanajua kupenda ila changamoto zao ni kubwa mno kukabiliana nazo ni wagomvi sana ss sijui huwa hawajiamini au vp!nina mchumba(mfupi) kila nikitaka kumuoa roho inasita sasa tupo kwenye uchumba sugu for 7 years!wanawake wafupi please punguzeni wivu watu tunashindwa kutangaza ndoa