Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,715
- 4,452
Wakuu,
Nimekutana na hii clip ya wanawake wa Katavi wakilalamika kuwa wakati wanawake wanaamka asubuhi kwenda shambani kufanya kazi, wanaume wanafanya tofauti.
Wanawake wanasema kuwa wanaume wamekuwa na tabia ya kuamka saa 6 mchana wakati wao wakihenyeka kwenye vibarua.
Wanaume wa Katavi mna shida gani? Kwanini hamtaki kufanya kazi?
Ni uvivu au ni nini?