HahahahaSawa Kungwi.
Dada zangu na Wengine ambao hamjaingia mtanisamehe lakini msema kweli mpenzi wa Mungu... . Wanawake ni tabu sana kutunza siri.... Akifurahishwa atahadithia akiudhiwa atahadithia.... Matokeo yake wakati mwingine ni mabaya sana. Hebu fikiria mwenzio mnakaa nyumba moja ya kupanga halafu kila siku unamuhadithia mwenzio jinsi unavyofikishwa.. Wakati yeye Tangu aolewe hata huko kufikishwa hakujui.Ndo unakuja kuta mwenzio anajipeleka kwa mumeo. Na sisi wanaume udhaifu wetu ukiletewa kifurushi ni lazima utakifunua tu. Matokeo yake kesi zinakuwa nyingi Kumbe wewe mwenyewe ndo umeuza timu.Hahahaha
Woyoooo
Sawa Kungwi.
Kungwi hili darasa lingependeza kwa kalimati na chai ya mdalasini.
'Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani'Kama hakuridhishi Kitandani hiyo ni Siri yenu
nyinyi. Anayekutuma uende kumhadithia Shosti
wako ni nani?? Atakusaidia nini...Au na akili zako za
funza unaenda kumwambia jirani, ili akushauri
nini??
Siri za ndani ni za ndani na mnakufa nazo wenyewe...Usitegemee Shosti atakusaidia, sanasana
akisaidia saanaaa, ataenda kusambaza umbea kwa
wengine...
Wengi wenu mnajikuta mnapinduliwa na
mashosti mnaowaamini sana mkidhani
wanawatunzia siri KUMBE,wanakuzunguka jamaa
anabandua, anapiga,wewe unabaki unatumbua macho umezungukwa kitambo na huyo BFF...
Mashosti wamegeuka
ma-BABY SHEM, Utasikia
Baby shem leo nakuja,anakolezwa kilingeni
unatoswa wewe na domo lako lepelepe...
Jifunze
kufunga mdomo! Kama hawezi mfundishe hadi
ajue...
Wanawake wa humu hawaambiliki kaka... Si unacheki hapo walivyomwaga povu?Dada zangu na Wengine ambao hamjaingia mtanisamehe lakini msema kweli mpenzi wa Mungu... . Wanawake ni tabu sana kutunza siri.... Akifurahishwa atahadithia akiudhiwa atahadithia.... Matokeo yake wakati mwingine ni mabaya sana. Hebu fikiria mwenzio mnakaa nyumba moja ya kupanga halafu kila siku unamuhadithia mwenzio jinsi unavyofikishwa.. Wakati yeye Tangu aolewe hata huko kufikishwa hakujui.Ndo unakuja kuta mwenzio anajipeleka kwa mumeo. Na sisi wanaume udhaifu wetu ukiletewa kifurushi ni lazima utakifunua tu. Matokeo yake kesi zinakuwa nyingi Kumbe wewe mwenyewe ndo umeuza timu.
Mwanaume gani huyo anayelia lia ovyo njiani???Aah wakaka bana yakiwakuta ya kuwakuta wanaenda kunywa pombe kisha wanaliaaaaaaaa na kuropoka kwa yeyote yaliyowakuta,hata mbuzi,kuku anaweza hadithiwa yaliyotokea aisee
Mwanaume gani huyo anayelia lia ovyo njiani???
Wewe itakuwa umemuona mwanamke aliyevaa suruali
Unaogopa kuumbuka stunter.... Jitume kijanaKama hakuridhishi Kitandani hiyo ni Siri yenu
nyinyi. Anayekutuma uende kumhadithia Shosti
wako ni nani?? Atakusaidia nini...Au na akili zako za
funza unaenda kumwambia jirani, ili akushauri
nini??
Siri za ndani ni za ndani na mnakufa nazo wenyewe...Usitegemee Shosti atakusaidia, sanasana
akisaidia saanaaa, ataenda kusambaza umbea kwa
wengine...
Wengi wenu mnajikuta mnapinduliwa na
mashosti mnaowaamini sana mkidhani
wanawatunzia siri KUMBE,wanakuzunguka jamaa
anabandua, anapiga,wewe unabaki unatumbua macho umezungukwa kitambo na huyo BFF...
Mashosti wamegeuka
ma-BABY SHEM, Utasikia
Baby shem leo nakuja,anakolezwa kilingeni
unatoswa wewe na domo lako lepelepe...
Jifunze
kufunga mdomo! Kama hawezi mfundishe hadi
ajue...
'Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani'
Halafu stori za 6 kwa 6 ndio zinatrend zaidi ila kiuchumi na kimaendeleo hakuna kabisa....WHY Ladies??????
Wanasema Nyuma ya mwanaume aliofanikiwa kuna Mwanamke...uongo ??Aah sio kwel
Aah wewe acha hizo kwan hauoni povu la gwajima na ishu ya vyeti vya makonda. Kuna mwanamke kahusika hapo?