mzibua chemba
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 476
- 412
Mkuu wa kaya kwa kweli kabana sana wale madem walio kua wamewekwa mjini na mapedeshee sasa ni kilio..wale madem walio kua wanaishi mjini kutegemea miili yao sasa ni kilio..wale madent walio kua na nyodo kujiita watoto wa chuo na kujiona high class sasa bum limebana wamekua low class
Wamegeukia mwenye mitandao ya kijamii kwa kasi na kuunda magroup kujinadi na picha zao na mekap nyingi balaa na kukaa uchi ukiingia king tuu unasikia tuhamie inbox au tuma namba tuingie whatsup uko ukichat kidogo ni milio na gear zao nitumie nauli nije daa wanajirahisisha sana kwa kweli madem wa siku hizi..na akija unaweza kimbia ni tofauti na picha alizokua anatuma whatsup ....
Huku jf kwa hizi id feki pia wanaweka picha za wenzao wazuri ili um pm