Wanawake si wa kuwaamini hata kidogo, kaniambia ananiletea zawadi kaja mikono mitupu

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
8,206
17,498
Tumekaa tu hapa tunatizamana toka saa 3 sioni lolote lile. Huyu dada ni wa Tanga huku huku. Yule demu wangu aliondoka jana kwenda Moshi anarudi kesho jioni. Alienda kusalimia kwao sikukuu akina Msangi sijui ni wa Moshi ipi

Huyu dada mwingine yeye nlikuwa namkuta sehemu moja hivi ofisini anyway niseme tu hili jengo la Bandari. Mtoto mzuri tukawa karibu tukapeana namba za simu. Siku moja moja namtoa nampa pesa ya Futari. Akawa anasema "subiri mfungo uishe ntakuletea zawadi." Nikawa nasema sawa. Ntashukuru. Mtoto ni mzuri sana muda wote mwili upo kwenye abaya.

Jana akaniambia kesho yaani leo nakuletea zawadi yako nawe u enjoy.nikasema sawa.nikafurahi maana nlimwambia nimefikia hotel flani na kwa kuwa yule wa training amekimbilia moshi mara moja nikasema tu aje hamna shida.

Kaja leo saa tatu kajifunika nguo hizo hadi usoni. Kaingia kazitoa yupo tu kumbe mtoto ana figure nzuri na rangi anavificha.basi tumepata bfast tumekaa tu mi nipo kitandani ye yupo kwenye sofa. Sioni kama amebeba zawadi yoyote. Tumepiga stories sasa tunaangaliana tu. Sijaona zawadi aliyoleta. Nami nlidhani angebeba kitu alete hamna chochote kabeba kipochi tu kidogo basi.

Nguo zake abaya na mitandio kaweka kabatini amejisahau mpaka anakaa vibaya na hajavaa nguo ya ndani.nakwepa nisimwone asije akaniona mimi mhuni.

Wanawake waongo sometimes mtu anakuambia ntakuletea zawadi. Kaja mikono mitupu. Hajaja na zawadi yoyote. Sielewi sasa hata niseme nini ila mtoto ni mzuri basi tu. Najuta kwa nini sikuwa nmemtongoza maana nikimtongoza leo ataniona mimi siyo mstaarabu sababu kaja room ndo nataka kutake advantage. Ila nashindwa muuliza zawadi aliyokuwa anasema atanipa ipo wapi. Mbona kaja yeye tu.
 
KAbla ya kujiunga JF nilisikia ni home of great thinkers.. Nimekuta ni tofauti kabisa. Ni HOMU OFU GLITI SINKAZ
 
Kweli wanawake muwe wakweli bana

R.jpeg
👿
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom