Prince Naahjum_
Senior Member
- Jun 13, 2016
- 139
- 125
Kwenye hiyo picha wana chumbiana au wanafunga ndoa?
Ebu tuanzie hapo kwanza...
Nipo sana aiseee....You're missed
Ni ukweli usio pingika, wanawake na wanaume n wengi lakini wife/husband material n wachache sanaWanawake ni wengi lakini wife material ni wachache, hata wanaume ni wengi ila husband material ni wachache. Mfanye mwanamke wako awe wife material na wewe utakuwa husband material wa kujivunia!
Mwenye busara mmoja amepata kusema "Mwanaume anaemjali mwanamke wake kama mtoto wa mfalme, ni ushahidi kwamba mwanaume huyo amezaliwa na kulelewa na mikono ya malikia wa nguvu".
Hii ni TRUE haina haja ya kuuliza.
hahaaaaaa pole kwa yaliyokukutaHujawajua wanawake,siku ukiwajua utarudi hapa kukanusha.
Hili umeongea pweintKila mwanamke ni wife material na kila mwanaume ni husband material sasa ita depend ni material yap unataka