Yaani wanapokuwa sita kwa sita sijui akili zao zinaendaga wapi maana huwaga hawakumbushii suala la uvaaji wa kinga hata kama hajui status ya boy wake. Mi imenitokea kwa mademu kama watatu hivi yaani ni mimi ndo huwa na care. Yaani wanashindwa hata na wale machangudoa pale sinza maana bila ndom hugegedi hata kama unatoa laki.