chanawaleti
Senior Member
- Jul 4, 2016
- 176
- 209
unazungumzia kina dada, au kina mama! by the way wanabadilika ili kuifanya ndoa kuwa ndoano!kwa nini kina dada mnabadilika mkishaingia ndoani?
Mwanaume alaumiwe...na Yy Anakuwa Mnywaji sana Akiwa Huko Bar....Lawama zote kwetu..nyie hambadilikagi? Na mwanamke akichepuka nani alaumie??
mkuu kuoa si mchezo jipange kwanzmada kama hizi ndo zinatukatisha tamaa tusioe kabisaa
Heaven sent buana, vip umeshaolewaMmeshaanza kutafuta vi-justifications. Wengi wenu hizo sababu mnazitafuta tu kwa nguvu
Bado buana. ....Heaven sent buana, vip umeshaolewa
Ngoja nije inbobo tuongee buana, haya mambo ya kuchunguzana. Ndio yale ya kuchagua sana kuchagua koromaBado buana. ....
Vip wewe baseline infomation zikoje?hahaaa..... wanaume bwana.. mnapenda kuendesha mtu kama gari... ila ujue hata gari ukielekea wrong side linapata ajali...
ukishindwa kufunga Break navyo hivyo hivyo.
wanawake huwa tuna ishi kucope na mazingira.
ukiona mkeo kabadilika jua umebadilika mara mbili zaidi.
Assess yourself first.