Hii tabia yenu imenikera sana, nimeivumilia sasa nimeona bora niwaambie tu mkae mkijua kuwa hatuipendi.
Mlianza kuvaa suruali, tumekaa kimya, mmetaka usawa tumekaa kimya, mmekuja kwenye hili la kuvaa saa za kiume kabisa.
Unakuta binti na msaa mkubwa wa kiume anadhani kapendeza kumbe anajiabisha tu.
Muda si mrefu mtaanza kututongoza na kutuoa kabisa.
Sasa msidhani kua tunapenda kutuigiza kila jambo tunalofanya.
Inatukera sana, fanyeni yenu na jueni nafasi yenu, sio kutwa kucha kujaribu kujijlinganisha na sisi.
Alaa.