Wanawake na PhD ya “Manipulation”

Dr criminal

JF-Expert Member
May 16, 2022
2,282
4,306
Hope you are doing good!

Kama mambo sio mambo komaa ndio tayari hivo upo duniani na hakuna dawa kwa hilo.

Kila mwanamke kazaliwa akiwa na PhD ya manipulation, hii ni sehem ya DNA yao wameumbwa hivo.

Mwanamke anaweza kuku-manipulate kwa kupanga au automatically tu.

Automatically mfano mzuri ni ile mwanamke anakupenda lakini utakuta wewe anaekupenda ndio anaku-treat vibaya kuliko wote, wakati wewe unajua unachukiwa kumbe deep down mtoto kaoza, hii wanawake almost wote wanayo, automatically na kadri mda uanvyozidi kwenda wengine hujifunza kuifuta hii(hasahasa waliosoma na wanawake wengi wakizungu wanafanikiwa, ndio maana dem wa kizungu kukuchana ni simple tu akikukubali, ila hawa akina mwajuma wa kwamtogole aje kukuambia ANAKUPENDA? 😂 nimekaa pale.

Mwanamke akipanga sasa kuku-manipulate hapo huchomoki, hapo kutoboa inabidi uwe umeingia kugusa pindi hata nusu semester Cuba.

Unajiuliza kwanini nayasema haya? well, nayasema haya kwasabab wanaume tumekuwa tukiingizwa mkenge kindezi kweli na wanawake.

Mwanamke akikuambia kitu, akikufanyia kitu, akikuonyesha kitu au mtu, akikugusisha kitu, akikunusisha kitu, akakugusa kitu, akakusimulia kitu, japo sio mara zote ila mara nyingi huwa Kuna kingine nyuma ya hicho kitu.

Simaanishia kwamba mwanaume hawez kufanya hayo, na pia simaanishi kwamba mda wote au wanawake wote wanafanya hivyo, ila mara nyingi huwa wanakuwa na ujumbe au kitu nyuma ya kila kitu wanachosema au kufanya.

Mara nyingi wanaume tupo direct sana (mara nyingi),, nakuomba namba ujue nataka nikutongoze, nakuita uje ghetto ujue nataka mbususu, sijubu sms zako ujue sikutaki, simple like that.

Mama anapomwambia mwanae mambo mabaya ya baba yake kwa sauti ya unyonge, unafikir lengo linakuaga nini? anapata huruma na mwisho wa siku mtoto ana fall in love mazima na mama na kuhisi anastahili huruma sana kuliko baba, lakini ni baba gani hukaa chini na mwanae kuongea mabaya ya mke wake?

Kuna uzi unasema "tuzae sitakusumbua malezi ya mtoto hakuna kitu kama hicho" ivo yani, utapewa Kila style, utaambiwa Kila neno la upendo wakati we unazama deep ye mpango wake haubadiliki ni mzae aanze kula asilimia 50% za jasho lako, FEAR WOMAN IN A MISSION

Ushawai mwona mwanamke smart, anahela zake, beautiful anadate na mzee?, hakunaaaaa, ni ngumu kupenda kizee kimejichokea na ni ngumu zaidi kutabasamu mbele ya mtu usiempenda lakini mwanamke ili halimshindi, atajichekesha Kwa hicho kibabu, atajibebisha, atoe miguno yote ila mission ni apate hela.

Wanaume wengi tu mnaigiziwa kitandani, mtu anatoa sauti kama kafiwa kumbe hamna hata, manipulation.

In short ishi na mwanamke kiintelejensia, uwe unaanglia all possible out comes au causes Kwa chochote anachokufanyia au kukuambia, usiridhike tu na kile anachokupa, kukuonyesha au kukuambia nenda hatua kumi mbele ndo utamkuta mwanamke wako kule.

Take care king.

Dr criminal
 
I think men should learn manipulation na technoc zake.. women actually respect.. yaaani wanawaheshimu kinoma wanaume wanaoweza kuwa manipulate wao.

Jua namna gani wanawake wanawasiliana (communicate) with emotions halafu ukishajua hack the system and use it by your benefits. Get what you want from women with that.

There is no point in feeling guilty about this maana they do it recklessly to men. Utasikia "be a gentleman" hapo unakua unaambiwa kuwa mtu ambae yeye ataweza kunufaika kutoka kwako hata km sio kitu ambacho uko tayari willingly.

Emotional Intelligence ndugu zangu!
 
Wanaume wengi tunababaika na wanawake kwa ulimbukeni tu jiwekee mstari na usivuke uwoo mstari kama unataka uchi kwa uyo mwanamke ukiupata nenda zako mbele muone huruma mwanamke kwa maneno na si vitendoo ukiweka vitendo utalia siku zote na utaona huna bahatii
 
Ukichelewa kuwajua Wanawake lazima uwe limbukeni.
Mtu anawajua Wanawake yupo chuo au zaidi ya miaka 20 unategemea nini hapo
 
I think men should learn manipulation na technoc zake.. women actually respect.. yaaani wanawaheshimu kinoma wanaume wanaoweza kuwa manipulate wao.

Jua namna gani wanawake wanawasiliana (communicate) with emotions halafu ukishajua hack the system and use it by your benefits. Get what you want from women with that.

There is no point in feeling guilty about this maana they do it recklessly to men. Utasikia "be a gentleman" hapo unakua unaambiwa kuwa mtu ambae yeye ataweza kunufaika kutoka kwako hata km sio kitu ambacho uko tayari willingly.

Emotional Intelligence ndugu zangu!
"B gentleman"

Utaambiwa "njoo home", ukijib siwez kuja kwako, atakuambia "acha uoga wewe be gentleman"
 
Wanaume wengi tunababaika na wanawake kwa ulimbukeni tu jiwekee mstari na usivuke uwoo mstari kama unataka uchi kwa uyo mwanamke ukiupata nenda zako mbele muone huruma mwanamke kwa maneno na si vitendoo ukiweka vitendo utalia siku zote na utaona huna bahatii
 
I think men should learn manipulation na technoc zake.. women actually respect.. yaaani wanawaheshimu kinoma wanaume wanaoweza kuwa manipulate wao.

Jua namna gani wanawake wanawasiliana (communicate) with emotions halafu ukishajua hack the system and use it by your benefits. Get what you want from women with that.

There is no point in feeling guilty about this maana they do it recklessly to men. Utasikia "be a gentleman" hapo unakua unaambiwa kuwa mtu ambae yeye ataweza kunufaika kutoka kwako hata km sio kitu ambacho uko tayari willingly.

Emotional Intelligence ndugu zangu!
Emotional intelligence mtu wangu The Butcher
 
Back
Top Bottom