he he! hata uwape njia 10000000... watakuja tu maana hakuna sheria kali hapa duniani kama sheria za kimazingira! nature will talk GENYE will make her come to me! usione mtu anaruka geti nakupita viunzi vya ulinzi si pepo ndugu wajua.. kumbuka when they have one we have more than one!
mkuu lbd uwaambie wazingatie uzazi wa mpango na kinga tu
Mkuu sasa kwa sisi tusiooa tufanyaje! Maana pesa tumekosa,pombe hatunyi wacha walau tusogeze maisha!Ni Rahisi zaidi kumjua Mwanaume aliyefall in Love
na mwili wako na sio moyo wako kuliko
kumtambua MZee wa Kichaga kwa pozi lake la
kutembea, suruali zake za kushonesha, miguu
myembamba na gari yake aina ya Pick Up kwa ajili
ya kubebea nyasi... Unataka kujua nani ana future nani hana???
Msikilize maongezi yake...Msikilize Priority zake....Msikilize
anakuomba nini kwanza mnapoanza tu...
Msome
tamaa zake machoni...halafu kataa kupanua
miguu...
UTAONA WAZI WAZI....Haihitaji kupiga ramli
wala kikombe cha babu wa Samunge...
Mwanaume anayeomba usujudie kitanda chake
cha gheto kabla hujaona sura za wazazi wake
muogope, Future yako itamezwa na kuta 4 za Gheto
lake na usitegemee zaidi...You wanna know a Real
Man with a future with you??
CLOSE YOUR LEGS
NIMEMALIZA..!!
Nakubaliana na ww, haya maisha hayana formula wako waliopanua sana tu na wameolewa unaweza ukatulia na ukachezewaUnaweza ukaonyeshwa wazazi na mahali mkapokea na bado ukaingia getho kwa matumaini na ukakimbiwa tu.njia sahihi lia na mungu wako tu wadada,wakaka mungu yupo usijaribu muombe haswa kila mmoja kwa imani yake
Hata uwaambie nn getto lazima waje maana hamna namna wanaume tumebarikiwa ushawishi mkubwa sanaNi Rahisi zaidi kumjua Mwanaume aliyefall in Love
na mwili wako na sio moyo wako kuliko
kumtambua MZee wa Kichaga kwa pozi lake la
kutembea, suruali zake za kushonesha, miguu
myembamba na gari yake aina ya Pick Up kwa ajili
ya kubebea nyasi... Unataka kujua nani ana future nani hana???
Msikilize maongezi yake...Msikilize Priority zake....Msikilize
anakuomba nini kwanza mnapoanza tu...
Msome
tamaa zake machoni...halafu kataa kupanua
miguu...
UTAONA WAZI WAZI....Haihitaji kupiga ramli
wala kikombe cha babu wa Samunge...
Mwanaume anayeomba usujudie kitanda chake
cha gheto kabla hujaona sura za wazazi wake
muogope, Future yako itamezwa na kuta 4 za Gheto
lake na usitegemee zaidi...You wanna know a Real
Man with a future with you??
CLOSE YOUR LEGS
NIMEMALIZA..!!
Kila mtu anapenda pesa zake watafute zakwaoKama ni hivyo wasituombe hela maana hata sisi tuna future na hela zetu