Nusratt
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 580
- 1,453
Dear Ladies mlio kwenye ndoa zenu, nawasalimu
Sio kila mwanamke utakayemuona single huko mtaani kwenu basi unamchukulia poa kwa kumuona kama kakosa bahati kwa kuwa hajaolewa kama wewe.
Wapo wanawake wengi wamekimbia miji yao na kuacha majumba na magari ya kifahari ili tu waweze kunusuru roho zao.
Ndoa zina siri nyingi, kuvaa pete na Shela pekee haitoshi kuitwa mke wa fulani, je unatimiza majukumu yako?
Au tuje kukusaidia sisi tulio single?
Wanawake mlioolewa mjue kabisa kuwa hakuna mwanamke single asiyetaka huduma.
Hata kama nimekimbia ndoa yangu Musoma na kuja Dar, nikikutaka na mume wa mtu anayejua kuhudumia ni lazima niwe nae.
Hivyo acheni kuposti pete zenu mitandaoni huku nyuma nyumba zenu zinawaka moto wa vurugu, makasiriko au utumwa.
Sisi tulio single sio kama hatukuolewa, tuliolewa kwa tambo za fahari na mahari za mamilioni ila tu tuliamua kuacha mali zote ili kunusuru roho zetu kwa vipigo, manyanyaso na kebehi kutoka kwa waume zetu.
Watu wengi sana hujiuliza kwanini hawara au mwanamke wa nje akimkamata mume wa mtu ni ngumu sana kwa huyo mwanaume kubanduka kwake?
Mwanamke wa nje kwanza lazima ajisahihishe makosa yake yaliyopita ili asiweze kuharibu tena.
Hivo akipata upenyo na kujua makosa yake huwa mtu mwema sana.
Pia tambo na majivuni ya mwanamke aliye ndoani kwa wadada wasioolewa.
Utakuta mwanamke aliye ndoani kutwa kuwasimanga wasioolewa na mwisho wa siku tunaona bora tutembee na waume zenu na kuwapa msivyowapa ili kuwakata ngebe na majivuni yenu nyie wake mlio ndoani.
Pia hili suala la kuwa na rafiki aliyekuzidi kila kitu kuanzia elimu mpaka akili nalo huchangia waume zenu kutufuata.
Huenda umeolewa tu ila huna hata akili ya maisha, ila anapokutana na mimi hawara mwenye upeo na akili ya maisha basi ujue hapo ni lazima nitakubebea mumeo tu.
Wanaume wangapi wamewaoa wanawake wa nje?
Ni wanawake wangapi wa nje wanatoa amri kwa mume wako na wanasikilizwa?
Ndoa ni muunganiko tu wa kuwa pamoja ila kaeni mkijua tunawapunguzia majukumu huko ndoani ndio maana ndoa zinadumu japo huduma tunagawana sawa.
Laiti mngekuwa kila majukumu ya ndani ya ndoa mnafanya ninyi, sidhani kama ndoa nyingi zingedumu.
Sina mengi kwa leo ila mkae mkijua tu Msiwasimange Single ladies wakati hujui nyuma ya pazia ya mumeo yuko nani.
Tunawaheshimu ili nasi tupate huduma ila matambo mkiyazidisha lazima nitakuwa mke mwenzio kihalali.
Maandalizi mema ya Pasaka.
NB
Bado napokea Marafiki toka nje ya Jf.