Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,425
- 25,639
Jumapili Moja mida ya jioni nipo zangu home sielewi,’mwanangu’ mmoja akanicheki “oyaa Satoh upo wapi now?” Nikamjibu nipo home nimechill nacheki game ya Simba. Hiyo siku ilikuwa Simba inacheza na timu Moja(nimeisahau) club bingwa.
Jamaa: Ibuka pande za bar X tuzibue vizibo mwanangu,nipo man alone alafu sielewi kabisa.
Mimi: poa Mzee,nipe dakika kadhaa za kujiandaa kisha nitaibuka hapo muda si mrefu,kwanza Simba yenyewe inazingua naona miyeyusho tu,si unajua msimu huu tumepoteana,nitaangalia huko huko bar.
Jamaa ni mashabiki wa Yanga akanicheka kisha akakata simu.
Mimi siyo mlevi ila mara Moja Moja Huwa napenda kwenda hapo bar kupata supu ya ulimi au mchemsho wa kuku. Jamaa wako vizuri sana.
Alafu kingine ,ni bar yenye totoz Kali kinyama,kuanzia wahudumu hadi wanawake wanaokuja kulia timing ‘madanga’ .Hawa wanawake Mimi nawaita mizoga,maana ukiwa na Hela yako tu unajiokotea mtoto mkali na kusepa nae.(Ila Mimi siyo pigo zangu).
Kwa hiyo Huwa nikienda pale ni kama naenda kusafisha macho wikiend Moja Moja,pindi nikiboreka kukaa home.
Sasa basi;
Baada ya kujiandaa,dakika kadhaa nikawa nimeshakaribia eneo la tukio,bar nikawa naiona ilee.
Sasa cha ajabu kadili nilivyokuwa nasogea nikazidi kujiuliza Kuna jambo gani pale? Mbona watu kibao alafu kama wanapigana!!?
Nakaribia zaidi,namwona mshikaji wangu aliyeniambia nitokee bar amemtia ‘roba ya maana’ mtoto wa kike pisi ya maana,mrembo haswa!!
Cha ajabu zaidi watu wa pale bar karibia wote wanamsapoti mshikaji asimwachie yule mdada.
Nikastuka imekuwaje tena,mbona mwamba ‘kamkwida’ mtoto wa kike?
Mimi:vipi tena mwanangu mbona sielewi, how come unamkwida mrembo kiroho mbaya hivi?
Jamaa: Mwanangu Satoh kausha kwanza,nitakusimulia Kila kitu,ila huyu Mwanamke simwachii hadi aondoke na Mimi.
Mimi: (Huku nimezidi kuduwaa) Huyu bibie kamfanya nini huyu mpuuzi!? Maana jamaangu namjua hasira mbele,alafu hanaga aibu kulianzisha popote pale ukimzingua. Hapa nilikuwa nawaza,huku nikisubiri mwafaka wa ugomvi maana mabausa nao walikuwa wameshaingilia ile vita na kumwambia demu alipe Hela ya watu,vinginevyo aondoke na jamaa akale mzigo. Hapa walikuwa nje karibu na geti la kutokea.
Baunsa: Nyie wanawake mnatuharibia Biashara na image yetu inachafuka kwa ajili yenu wajinga kabisa.sasa ili iwe fundisho huyu jamaa lazima asepe na wewe mkamalizane huko mbele ya safari.
Mwanangu usimwachie huyu mwanamke hadi akakupe unachokitaka,vinginevyo akurudishie Hela zako zote!!
Watu kibao hasa wanaume wakawa wanapiga kelele za kushangilia,kwamba hiyo ndiyo haki. Jamaa asepe na demu akajilie mbususu.
NINI KILITOKEA HADI JAMAA AKAANZISHA VURUMAI BAR?
Namalizia.