Wanawake mkitaka kununua mashine ya kunyolea huwa mnasemaje?

Bonsipele69

JF-Expert Member
Feb 19, 2023
364
909
Habari,

Napenda kuuliza hivi kwa wadada na wanawake wote kwani huyu mwanamke wangu huwa anapenda kunituma mm ndio nimfatie hiki kifaa maana anadai akifika dukani huwa anaishiwa pozi kusema mangi naomba mashine ya kunyolea ndevu af wateja wote wanamgeukia kuzitazama ndevu zenyewe wakati kidevu cheupe.

Ni hayo tu naomba kuwasilisha.
 
As long as wote wanaokuwa humo madukani wakiwepo na wateja wote.ni watu wazima,ni kitu gani wasichokijua I strongly recommend wawe wanasema wapewe mashine ya kupukuchua mavuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom