Wanawake Mapenzini

wewe nemo judex in causa sua hiyo no 4 hainihusu so long as am happy with him na maisha mazuri. Iwe kawaida tu wastan.
Hapa mjini ukiwa na kitu ndefu bila poch ndefu utaisoma no.

Labda weka picha ya no 4 nichague.

umetisha sana mkuu kwa jibu murua kabisa umenikata ngebe, na ngoja nichangamke kuzisaka nisije kuumbuka hapa mjini
 
Ndugu umevuka mipaka kwakweli kwa tafsiri yangu hapo umemtikama mtoa mada, inamana amuulize mama ake kama anapenda hiyo namba nne?hebu tafakar ikibid mtake radh mtoa mada n/a mama anaheshima.yake kunwa sio.wa.kuhusishwa.katika upuuuz wa huku
Una mama?, muulize madwali hayo.
 

hivi mbona mnapenda sana vya kung'aa? kwan uwez mpenda mtu ukamfundisha usaf?
 

Hebu nawe jiulize maswali hayohayo km mwanaume kwa nn upende mwanamke ktk hayo?
 

Hebu nawe jiulize maswali hayohayo km mwanaume kwa nn upende mwanamke ktk hayo?
 
"Kupenda uume mkubwa na mrefu"

hapo mwanamke anapenda ufundi tuuu hata kama hauna ukubwa kivilee
***************************(*((

Mwalimu-:, eti barua kwa kiingereza inaitwajee

Mwanafunzi;- inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…