WANAWAKE: Kwanini mnapenda kumtambulisha mpenzi wako mpya kwa watu wako wa karibu?

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,800
6,806
Habari za wikiendi,

Kuna hii tabia ya wanawake karibu wote akipata mpenzi mpya kumtangaza kwa ndugu zake, marafiki zake, ex wake. Nimeangalia kwa upande wetu wanaume, mwanaume akiwa hata na mpenzi kutambulisha hatupendi achilia mbali mke.

Sasa ikitokea mdada akakupenda, ukipita hivi utashangaa shemeji na maneno maneno kibao mara my sky, my only moon etc.

Nini kinawapelekea kumtambulisha mpenzi wako kwa watu wako wa karibu. nini unachokiogopa? Mnafanya haya ili yaweje? Kama umempenda kuna haja gani kila mtu wako wa karibu kumjua?

Kitu kingine nisichokipenda unatongozwa, ukikataa unaanza kusema umetongozwa na fulani lakini akikukula husemi kabisa mara huyu naye huwa simpendi kazi uplayer? Kwa nini msiwe wa siri?

Kuwa mwanamke lazima kutongozwa tuu hata na kichaa sasa kwa nini mnayafanya haya?

Asante na karibuni kwa michango yenu
 
Ni sifa,yaani kuwarusha roho watu wake wa karibu wapate ka wivu fulani.

Ili wajue na yeye ana wa kumpa ka joto.

Hawa ndio wanaoongoza kuandika status za mahaba hadharani,mara ooh nimekumiss,nimemiss ka mchezo,nimemiss nanilii ili mradi tu nae aonekane ana mpenzi wanagegedana.
 
Kwa kwa wadada kugegedwa ni sifa kumbe?
 
Maneno meeengi kumbe sentensi moja tu ingetosha...

"Wanapenda kuwaonesha wanaowagegeda"

Hivi hizi bikra tutazipata wapi miaka hii??
 
Hiki kitendo ni cha Kipumbavu kibinti Fulani hivi nilikua nafanya nacho kwa siri lakini kikawa kinanianika kwa marafiki zake nikakapiga chini too childish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…