The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,303
- 10,675
Haloo jukwaa la MMU....
Ngoja leo nitetee hawa malaika a.k.a maua a.k.a wanawake kuna swala fulani kwenye gender sijui niseme sisi wanaume hatufanyi sawa kwao.
Hivi inawezekana vipi mwanamke akosee umpeleke kanisani hadi umuitie wazazi kisa kachepuka na umemfuma red handed afu wewe mwanaume ukipiga nje yanaishia chumbani.
Niseme kwa wadada emu jifunzeni kumove on (Ladies learn how to move on).
Kuna dada humu amefungua uzi na yupo na mwanaume amechepuka bahati mbaya na yule mume ameshindwa kumsamehe licha ya kumexpose hadi kanisani, na kwa wazazi wa pande mbili kaaah dada bado yupo naye tu kisa watoto loooh na isitoshe dada kaacha kazi ya laki 5.5 kwa mwezi kisa hilo jamaa lake bandidu sasa yupo nyumbani kama mama wa nyumbani.
Nimekaa nimewaza baada ya kusoma huo uzi nikaona wanawake wa kiafrika bado elimu kubwa inahitajika ili waelewe haki zao za msingi huyu dada atakuwa ni msomi lakini hazijui haki zake. je ?wanawake wasio soma.
Tafadhalini wanawake jifunzeni kumove on na kuwa independent kwa maisha yenu ingekuwa ni mzungu amecheat yaani wanawake wakizungu wapo smart umemkamata kacheat yeye ana move on na hutomsikia tena akija kwako nashangaa dada zetu wanapoteza hadi kazi kisa mwanaume.
Dada kwani huyo kaka anakojoa dhahabu, hope dada zangu wakichagga hawafanyi hivi.
Wanawake acheni kuuza furaha zenu.