Wanawake bora bado wapo, hongera sana mke wa Joseph Haule (Profesa Jay)

Makonde plateu

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
1,443
3,480
Professor jizee kiukweli amepata mke bora na mwema sana aisee na mvumilivu aisee professor jizee pongezi zote amepeleka kwa mke wake na sijui amefanyeje kumpata yule mke wake na sikutegemea mke wake atakuwa vile lakini ndiyo imekuwa hivyo na wish siku nimfuate professor j nimuulize mke wake amempataje?

Kupitia interview ya Millard Ayo anamsifia mke wake mpka nikaona wivu wengine wanawapa wapi? Wake zao? Ingekuwa hawa akina Rashida,mwamtumu,mwajuma, Rachel n.k wa buza kwa rulenge,kwa mpalange,yombo na sehemu zingine wangekuwa wameshamkimbia tayari hawa wengine wapo after money Tu

Na nimekuja kugundua wanawake wanaotoka familia masikini ndiyo wasumbufu na wenye tamaa tamaa ambao mwanaume akiwa na matatizo tu wanamkimbia,wanawake wa uswahili ni watu wenye tamaa tamaa tu msioe wanawake wanaotoka familia masikini mtakuja kujuta Aisee

Mungu nijaalie nimpate mke bora kama wa profesa Jizee! insha'Allah.

Mwamba ana uchumi mzuri unaohakikisha usalama wa mkewe lazima atulie tu , na ukiangalia huku nnje kuna mafisi lazima awe mpole .

Hao kina mwantum unaowalaumu kila siku wanakula ugali dagaa waliolazimishwa kuitwa dagaa wa nyama , tena wa mia 3 na mafuta ya mia 7 lazima wawe kama walivyo πŸ˜…
 
Wote wanakuwa bora pale mwanzoni,ila shetani akishapata upenyo tu ndio yanaanza mapichapicha...
 
Pole sana kwa kucheleww kulijua hilo. Wanawake waliolelewa familia zenye umasikini kisha wakatoboa maisha huwaambii kitu wewe mwanaume.

Chukua mwanamke ambae unamtoa kwa wazazi wake wakiwa ktk ndoa nzuri ila sio hawa kwao ndoa hakunaz umasikini umekithiri n.k anakukimbia faster tu.
 
Mwanamke anarudisha unayomtendea.

Prof jay enzi zake za uzima.. kaset mitego ya kiuchumi vizuri na kumpa status huyo mwanamke.

Status ya mke wa mheshimiwa mbunge ni kubwa sana.

Pia proff kiuchumi yupo vizuri.. miradi anayo inayoingiza hela hata akiwa anaumwa.

Tatu kazi ya kumuuguza professor jay ina stress za care giving tu. Ila hela za matibabu hakuna stress maana serikali na kina mbowe wanagharamia.

Proff kalazwa muhimbili ICU zaidi ya nusu mwaka na kapelekwa mpaka Apollo india ila hajatoa hata mia mfukoni mwake.

Mke ukimrahisishia maisha hawezi kukimbia ukiwa na matatizo
 
Professor jizee kiukweli amepata mke bora na mwema sana aisee na mvumilivu aisee professor jizee pongezi zote amepeleka kwa mke wake na sijui amefanyeje kumpata yule mke wake na sikutegemea mke wake atakuwa vile lakini ndiyo imekuwa hivyo na wish siku nimfuate professor j nimuulize mke wake amempataje?

Kupitia interview ya Millard Ayo anamsifia mke wake mpka nikaona wivu wengine wanawapa wapi? Wake zao? Ingekuwa hawa akina Rashida,mwamtumu,mwajuma, Rachel n.k wa buza kwa rulenge,kwa mpalange,yombo na sehemu zingine wangekuwa wameshamkimbia tayari hawa wengine wapo after money Tu

Na nimekuja kugundua wanawake wanaotoka familia masikini ndiyo wasumbufu na wenye tamaa tamaa ambao mwanaume akiwa na matatizo tu wanamkimbia,wanawake wa uswahili ni watu wenye tamaa tamaa tu msioe wanawake wanaotoka familia masikini mtakuja kujuta Aisee

Mungu nijaalie nimpate mke bora kama wa profesa Jizee! insha'Allah.

pole sana Prof Jay,God is Good,hakika uwepo na ukuu wa Mungu umeonekana kwenye maisha yakoπŸ™πŸ™
 
Professor jizee kiukweli amepata mke bora na mwema sana aisee na mvumilivu aisee professor jizee pongezi zote amepeleka kwa mke wake na sijui amefanyeje kumpata yule mke wake na sikutegemea mke wake atakuwa vile lakini ndiyo imekuwa hivyo na wish siku nimfuate professor j nimuulize mke wake amempataje?

Kupitia interview ya Millard Ayo anamsifia mke wake mpka nikaona wivu wengine wanawapa wapi? Wake zao? Ingekuwa hawa akina Rashida,mwamtumu,mwajuma, Rachel n.k wa buza kwa rulenge,kwa mpalange,yombo na sehemu zingine wangekuwa wameshamkimbia tayari hawa wengine wapo after money Tu

Na nimekuja kugundua wanawake wanaotoka familia masikini ndiyo wasumbufu na wenye tamaa tamaa ambao mwanaume akiwa na matatizo tu wanamkimbia,wanawake wa uswahili ni watu wenye tamaa tamaa tu msioe wanawake wanaotoka familia masikini mtakuja kujuta Aisee

Mungu nijaalie nimpate mke bora kama wa profesa Jizee! insha'Allah.

Tukiacha masuala ya .Mke nimeangalia interview yote,chanzo alichosema Prof Jay ambacho tunatakiwa kujifunza na kubadilika ni:-
1.Mitungi,bata zisizo na maana/kampani mbovu
2.ulaji mbovu,anasema alikuwa anajikuta anakula hata saa 11 alfajiri akiwa anatoka kula bata(hata me nimeayaishi haya maisha, tumekutana na Prof mitaa na viwanja vingi sana)hii ni lifestyle ambayo vijana wengi wanaishi
3.Tufate sana USHAURI wa madaktari hasa Profesa Janabi amekuwa akijitolea sana kushauri waTz Bure ila mizaha tunayomfanyia Iko siku tutamkumbuka
4.kufanya checkup mara kwa mara siyo lazima uwe unaumwa
5.mazoezi ni muhimu sana
6.Tufanye ibada kila Mtu kwa Imani yake
 
Mwamba ana uchumi mzuri unaohakikisha usalama wa mkewe lazima atulie tu , na ukiangalia huku nnje kuna mafisi lazima awe mpole .

Hao kina mwantum unaowalaumu kila siku wanakula ugali dagaa waliolazimishwa kuitwa dagaa wa nyama , tena wa mia 3 na mafuta ya mia 7 lazima wawe kama walivyo πŸ˜…
Dagaa chakula kizuri sana kuanzia ladha mpaka virutubisho, sijui kwa nini Watanzania wanakidharau sana.

Dagaa ni chakula chenye protini nyingi sana. Ukipata dagaa walioungwa vizuri ni watamu sana.

Kwa nini kuna kasumba sana dhidi ya dagaa?
 
Haswa dagaa wa mwanza, huwa nawaloweka kwenye maji ya moto kosha nawachuja na kuwakamulia ndimu, pilipili kwa mbalu na chumvi kwa mbali....
Kisha nakoroga rosti la mambogamboga na kutupia dagaa humo, πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Ugali unaisha mboga inabaki, unasonga ugali mwingine kumalizia mboga, ugali unabaki.... unapika dagaa wengine kumalizia ugali and the cycle is endless πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Jokes aside, napenda dagaa na ugali wa dona πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹.
 
Unaona sasa wanaolijua dagaa mmekuja.

Mimi ndiyo maana najipanga tukutane nije kula tu hilo dagaa.
 
Back
Top Bottom