Wanawake badilikeni: Hili la haki sawa na wanaume

Mtu anawezaje kupanda hadi kichwani ilhali wewe umekaa tu, mimi labda ataishia kwenye magoti
 
ndo hapo sasa mana...UKISHINDWA KUTATUA TATIZO BASI WEWE NDiO TATIZO
Kweli kabisa, hivi mwanaume kama kichwa cha nyumba unaruhusu vipi kupandwa kichwani? Au ndio wale ambao hawatekelezi majukumu yao kwahiyo wanajikuta automaticaly anapoteza sifa ya kuwa mume!!
 
Kweli kabisa, hivi mwanaume kama kichwa cha nyumba unaruhusu vipi kupandwa kichwani? Au ndio wale ambao hawatekelezi majukumu yao kwahiyo wanajikuta automaticaly anapoteza sifa ya kuwa mume!!
unyonge wao ndo unawaponza mwisho wa siku wanaanza na kufua vyupi vya wake zao
 
unyonge wao ndo unawaponza mwisho wa siku wanaanza na kufua vyupi vya wake zao
Kufua vyupi ni mapenzi tu haina tatizo lolote kama mwanaume utasimama kwenye nafasi yako vyema.
 
Wengi wanaopaza sauti kuhusu haki sawa.. ukiwakuta majumbani kwao ni waatifu kwenye ndoa zangu mpaka utashangaa... Ila mbele ya jamii wanajifanya kupumbaza wengine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…