Wanaumeee...!

Trainee

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
2,454
3,188
Matumizi kwa mwezi na yote anatakiwa agharamie mwanaume

Chakula (chai na Wastani wa milo miwili kila siku) 10000
Nishati (kuni/gesi/mkaa) 25000
Umeme (Luku) 3000
Maji 5000
King'amuzi 25000
Swadaka 4000
Vizinga kutoka kwa masela (utakadiria mwenyewe)
Wazazi wapate chochote kitu (kadiria mwenyewe)
Ndugu, jamaa na watoto wapate chochote kitu
Kodi ya nyumba 15000
Mavazi ya watoto, mke na ya kwako mwenyewe
Sabuni 15000

Hiyo ni kima cha chini sana kwa mtu wa kawaida kabisa tena ni huku kijijini na hapo sijaweka vikolombwezo vingine mfano usafiri na michango mbalimbali ya kijamii na kiserikali

Kwahiyo kwa mwezi tu unaona hela inayokatika hiyo na hapo bado mambo ya anasa ghafla na dharura, matapeli hawajakutembelea, wezi na vibaka... Nk

Usiniulize kipato,

Weka za matajiri na maisha ya kati
 
Hatari sana, tena sio na nusu tena.
 
Back
Top Bottom