Kuna utafiti nimeufanya,nimegundua wanaume weng wa kibongo hasa wa kizazi hiki cha kisasa hatuna ujasiri wa kutongoza wanawake ana kwa ana,unakuta mtu ni mko nae ofisi moja au darasa moja,lakini cha ajabu utafanya juu chini upate namba yake ya simu ili umtongoze ukiwa huko mafichoni badala ya kupiga mistari live.bado naendelea na utafiti kujua chanzo cha hili tatizo..

Chanzo ni ccm.Kuna utafiti nimeufanya,nimegundua wanaume weng wa kibongo hasa wa kizazi hiki cha kisasa hatuna ujasiri wa kutongoza wanawake ana kwa ana,unakuta mtu ni mko nae ofisi moja au darasa moja,lakini cha ajabu utafanya juu chini upate namba yake ya simu ili umtongoze ukiwa huko mafichoni badala ya kupiga mistari live.bado naendelea na utafiti kujua chanzo cha hili tatizo..
Ujasiri wa kupiga live band anao Gadna...
But why ushindwe kufunguka? Me nadhani inategemeana na age... Kuna dem mmoja nilimtokeaga bana, ile kuongea maneno mawili, dem alifungukaaa, alinipiga madongo ile mbaya. Eti kwanza we used utanipa nini mimi, yani sioni jipya kwako.... Duh, nilijuta kumpiga vesi kidume enzi hizo maisha ya bumu...
Ulitumia njia gani utafiti wako,au na wewe ni muhanga?
Wewe porojo bila sabuni ya roho ni kazi bure,utajihisi unamkosi,huu mchezo rahisi sana kama mapesa yapoKuna utafiti nimeufanya,nimegundua wanaume weng wa kibongo hasa wa kizazi hiki cha kisasa hatuna ujasiri wa kutongoza wanawake ana kwa ana,unakuta mtu ni mko nae ofisi moja au darasa moja,lakini cha ajabu utafanya juu chini upate namba yake ya simu ili umtongoze ukiwa huko mafichoni badala ya kupiga mistari live.bado naendelea na utafiti kujua chanzo cha hili tatizo..
Noo, nilikuja gundua kuna kijamaa kilikuwa nje ya Bongo ndio kilikuwa kinauendesha ubongo wake...Mbaba uliingia na gia isiyofaa
Kuna utafiti nimeufanya,nimegundua wanaume weng wa kibongo hasa wa kizazi hiki cha kisasa hatuna ujasiri wa kutongoza wanawake ana kwa ana,unakuta mtu ni mko nae ofisi moja au darasa moja,lakini cha ajabu utafanya juu chini upate namba yake ya simu ili umtongoze ukiwa huko mafichoni badala ya kupiga mistari live.bado naendelea na utafiti kujua chanzo cha hili tatizo..
Hujakutana na mafundi blaza... na pia mazingira yanasababisha hilo unalohisi.. suppose umekutana na demu kwa gari dar-mwanza hope hautatumia msg ila ni live.. lakini kama umeingiamo badoo ukaanza chat autonaturally utarusha mistari humohumo.Kuna utafiti nimeufanya,nimegundua wanaume weng wa kibongo hasa wa kizazi hiki cha kisasa hatuna ujasiri wa kutongoza wanawake ana kwa ana,unakuta mtu ni mko nae ofisi moja au darasa moja,lakini cha ajabu utafanya juu chini upate namba yake ya simu ili umtongoze ukiwa huko mafichoni badala ya kupiga mistari live.bado naendelea na utafiti kujua chanzo cha hili tatizo..