MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,244
- 50,433
Kama unawakwepa nduguzo katika imani, hamjafundishwa uvumilivu miongoni mwenu madrasa?!Mnakosea sana mnaposema "dini" wakati ni mila za kiarabu tu hizo tena ni waarabu wa kale kabisa.
Huwezi kukuta upumbavu kama huo katika nchi zilizo staraabika kama Misri, UAE, Tunisia, Algeria, Morocco, Kuwait, Saudi Arabia ya sasa wala hata Lebanon na Syria labda kwa wajinga kama Yemen, Pakistan, Afghanistan, Sudan na Iran ambao bado wanaabudu utamaduni wa kale wa kiarabu.
Katika nchi kama Tanzania hata kwenye maeneo yenye waislamu wengi mkifanya uwendawazimu kama huo wananchi hawatawapa hata fursa ya kupelekwa mahakamani bali watawagawana vipande na hadi polisi wanafika watakutana na viungo vyenu vikiwa vimesambazwa barabarani.
Dunia ya sasa iliyostaarabika haiwezi kukubali upumbavu kama huo ukifanywa kwa kisingizio eti cha dini, hakuna dini ya kipumbavu kama hiyo.
Katika nchi zinazo fuata sheria ya dini ya Kiislam amepigwa huyo bakora kwa sababu ya kosa la zinaa amezini huyo. Kama hapo kwetu bongo tunauwa mwizi je tunafuata sheria gani? sheria ya nchi yetu ya Tanzania inaruhusu mwizi kuuliwa? au mwizi kukamatwa na kupelekwa kituo cha polisi?Swali ambalo huwa najiuliza, hivi ufanye huu ukatili wote halafu hatimaye uje kugundua huyo "mungu" unayemuadu kumbe siye.
Njemba nne zilizoshiba zinamchangia mwanamke mmoja na kumcharaza kisa dini
Hizi laana zitakuja kuwatafuna brazaj
Katika nchi zinazo fuata sheria ya dini ya Kiislam amepigwa huyo bakora kwa sababu ya kosa la zinaa amezini huyo. Kama hapo kwetu bongo tunauwa mwizi je tunafuata sheria gani? sheria ya nchi yetu ya Tanzania inaruhusu mwizi kuuliwa? au mwizi kukamatwa na kupelekwa kituo cha polisi?
HerbaKatika nchi zinazo fuata sheria ya dini ya Kiislam amepigwa huyo bakora kwa sababu ya kosa la zinaa amezini huyo. Kama hapo kwetu bongo tunauwa mwizi je tunafuata sheria gani?
Adriz,2. Kuna ushahidi gani kuwa wamefanya hivyo kwa ajili ya dini au kisa wamevaa hayo mavazi tu ?