DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 22,375
- 58,949
Wanaume wa kiafrika ni dhaifu Sana mbele za wanawake.
Kupitia udhaifu huu wameharibu Kazi zao zilizokuwa zinawasaidia kuendesha maisha na kuwapa heshima.
Udhaifu huu umewafanya wameharibu ndoa zao zilizofungwa Kwa gharama kubwa ya pesa na sala na mizimu.
Pia kupitia udhaifu huu umesababisha wanaume wengi wakiafrika kutengeneza idadi kubwa ya watoto wasio na baba Mtaani .
Kila utakapokutana na MTU anajuta basi majuto yake mengi yatakuwa yanahusiana na Wanawake jinsi walivyoitawala akili yake hadi kupoteza kila kitu.
Wanaume wakiafrika wapo na ukakamavu wa kimuonekano tu but not mentally.
Mwanaume wakiafrika hana uwezo wa kumsaidia mwanamke hivi hivi bila kumuhitaji kingono.
Japo wachache wanaweza.
African men are very weak .
Ukiwa hauwezi kuji-control emotionally means wewe ni dhaifu.
MTU anajua kuwa ana familia Ila anaamua kuitelekeza na kukimbilia Kwa mchipuko kid 🤔
Grown men are rare in Africa .