Wanaume wa Daslam

City hunter j

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
926
380
Habari zenu.
Katika siku hizi za usoni karibia kila Kona utakutana na sentensi "wanaume wa Daslam"
Jiji la daslam ambalo vijana wengi wanatamani wangezaliwa au hata kuzamia daslam tumekuwa tukipigwa vita sana karibia kila Kona na vijana wa mikoani (bush). Nadhani mnatambua fikra kwamba vijana wa Daslam tukija mikoani huko dada zenu/girlfriend zenu hawatulii nyumban. Maisha yapo huku daslam ndiy maana mnakuja kuzamia. Kumbukeni pia vipasel vingi toka mikoani vinatelekezwa pale ubungo na kuwa chakula cha stand nzima. Punguzeni wivu vijana wa mikoani na heshima iwepo. Mjini akili mikoani nguvu
 
wanaume wa dar ina manisha nini? yani wenyeji wazaramo?,waliozaliwa dar?,au wenye makaz ya kudumu dar? me sielewi.
 
Nadhani huu sasa ni UMAJIMBO, Haya mwanaume uliyejipambanua kuwa ni wa Daslam umeeleweka.
 
masikin weee!!!!!! kumbe ndo unavojidanganya????? by the way btw 10, 3 wanajitambua kuw ni gentlemen wengine suluali. habar ya bint kuja kazamia huko huyo mmefanana means wote hamjitambui,,,,, bint anaejitambua maslah ya maisha na kujitunza yapo mbele km TAI,.
 
Waliokosa fursa ya kuja haoo!

Da'salaam kipimo cha akili ya kijana maboya ya mkoa yanakuogopa vibaya sana..
ukija kizembe mjini unaliwaa..!

Unawezaje kukataa kitu ambachoo hauna ata uwezo wa kukipata..!
 
Naona unadhihirisha kweli watu wanayoyasem ni ya kweli kuhusu nyie wanaume wa dar sasa ni upuuzi gani huu umeandika..!
 
Haya mwanaume wa dar, lakini kumbuka umri wako umeenda kwa haya uliyoyaandika hapa.
 
Mmh..mtazamo wako tu.nimezaliwa dar nimesoma dar now nafanya kazi kahama nothing new..mtazamo wako outdated sana
Huku kahama ndiko unataka
Mmh..mtazamo wako tu.nimezaliwa dar nimesoma dar now nafanya kazi kahama nothing new..mtazamo wako outdated sana
Ww huku kahama ndiko unataka kuchukua ka under 18?
Kumbe ww ni mwanaume wa dar pi?
thsy
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…