Wanaume tumieni mbinu hii kuepuka kupewa watoto wasio wako

Daah miez miwili unashindilia miti tu..

Cha msingi ni kuwa mtu wa timing, pia angalia kwenu kama mna damu kali.

Kuna watu huwezi singizia mtoto wala hawezi kataa mtoto kutokana na damu zao yaani akitoa mtoto ni copy ile ile..

Hasa watu wenye MASKIO marefu/makubwa hawa watu wanarithisha mpk watoto wao fanya tafiti, pia na baadhi ya watu wenye mwanya.
 
Utamsindikiza mpaka chooni, kuna mmoja alijifanya ana tumbo la kuharisha usiku (vile vyoo vya shimo) kumbe kuna jamaa yupo chooni, ni dakika moja tu kutunga mimba, uhakika uko wapi? Amini tu mwanamke halindwi bali hujilinda.
 
...sisi huku kwetu kuna majani tunatafuna usiku tunalala halafu asubuhi mate ya kwanza unamtemea mtoto usoni kitoto, kama wako ataishi kama sio kitoto chako kinakufa biashara inaishia hapo.!
 
...sisi huku kwetu kuna majani tunatafuna usiku tunalala halafu asubuhi mate ya kwanza unamtemea mtoto usoni kitoto, kama wako ataishi kama sio kitoto chako kinakufa biashara inaishia hapo.!
Kwa nini ufikie hatua ya kuua mtoto asiye wako?Okay,mtoto akifa na nini kitaendelea kwa mama yake?
 
Kabisa hajatujua, tukiamua letu hata chooni tukienda wote utapigwa tu
Na mtoto wa kupigwa wanaume wanaojitambua huwa wanamjua mapema sana,sema wengine wanauchuna tu,na utaona hata mapenzi kwa huyo mtoto wa kupigwa yanakua hafifu sana ukilinganisha na mapenzi ya mtoto wa damu yako, hata kutembea nae tu inabidi hadi Mama yake awepo, ila damu yako unadunda nayo kitaani hata bila mama mtoto kuwepo!!
 
Kama matumizi unatoa wala haina mbaya
 
Sio lazima miezi miwili, mimba ata siku moja inatungwa. Muhimu ni umakini tu
Miezi miwili ni likizo au mapumziko tu?Kuna taasisi/kazi hazitoi likizo ya muda huo.Vilevile mfanyabiashara ataweza kuiacha biashara yake doro kwa miezi miwili?Kukishakua hakuna kuaminiana,kutakua na milolongo ya kuhalalisha matatizo kwa wenza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…