Kusema kweli mimi nina aibu sana, pia huwa sipendi kumwambia mtu jambo litakalomuumiza kihisia.Kuna binti mmoja nimeanza nae mahusiano hivi karibuni,mwezi wa pili ndio tulikutana nae kimwili.
Sio siri nilikuwa nimepania sana game na huyu mtoto ila baada ya kupiga goli moja nikaishiwa nguvu kabisa maana nikakuta binti ni mchafu sana ukeni,uke umejaa vitu vyeupe kama tongotongo,nilipotoa uume sikuamiani nilichokiona,uume umechafuka nilitamani niukate,nilikimbia kwenda bafuni na sikutaka kurudia game.
Sasa tokea hapo amekuwa akitaka sana kuja nyumbani na akiniambia wazi anataka,nimekuwa nakwepa nikitoa sababu zisizo na kichwa wala miguu,mara sipo au nimesafiri kikazi ila kiukweli nakuwepo tu.
Sasa natafuta mbinu ya kumwambia kuwa yeye ni mchafu na siku ile sikupendezwa na yeye ila nashindwa, hebu nishaurini au nisaidieni nimwambieje au nitumie lugha ya aina gani kumwambia.