AmKATRINA
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 738
- 1,600
Yaani mtoto wa kiume kabisa unathubutu kumwambia mwanamke eti malizia mjengo wako tuje kuishi wote wakati hujui hata bei ya msumari wa zege?
Hapana, nimekasirika sana.
Wanaume acheni hizi tabia kama mnazo, mtakuja kudhalilika siku moja yakitimia.
Nimechukia sana.
Hatujawahi kudate, ila kwa kuwa umejua najenga, unaning'ang'ania kwa kuwa unajua kuna mahala utahifadhi mbavu zako?
Sijapenda kabisa
Sitaki.