Wanaume ni wachoyo sana kwa mahitaji yao binafsi.

Zemanda

JF-Expert Member
Jan 10, 2021
7,861
17,109
Mwanaume atavaa kiatu pea moja zaidi ya mwaka bila kununua kipya. Ila mkewe atabadilisha pea mpya kila mwezi na amani itakuwapo.

Mwanaume anaweza kwenda bar, au mgahawani na kula anachotaka ila ni bora aende nyumbani kula kabeji aliyopika mkewe ambaye alimuachia pesa ya nyama ya kuku, samaki au ng'ombe ila akapiga panga ili ahifadhi marejesho vya vicoba anayokopa kwa usiri ili ajenge kwao.

Mwanaume akiwa mwanafunzi chuo atatembea usiku wa manane kuelekea geto kwake akitokea hostels za chuo kumfundisha demu ambaye mwaka wa tatu watakapohitimu atamsahau na hata akipata kazi hatokumbuka kuwa fulani ndie sababu ya mimi kuwa na Cheti kizuri kwa kunipambania nielewe class, hata ikitokea fursa ya kazi ataita mademu wenzake na watu baki ila sio yule mwanaume aliyempambania.

Mwanaume atakwenda kurisk maisha nje ya inchi lakini anachopata atakumbuka kuwa ana mke na watoto huko nyumbani na atatuma sehemu kubwa ili mkewe na watoto wasiteseke. Ila bado mwanamke atawajaza sumu watoto kuwa baba yenu kazaa nje ya Ndoa au alikuwa na mwanamke mwingine mambo ambayo ni siri ya Mume na Mke.

Mwanaume atakuwa Jambazi,fisadi,tapeli,aibe apate pesa ili aje kuwalisha familia ya mke na wazazi wake waweze kumheshimu yote hii ni kwasababu mwanaume ni wa kujitoa sana.

Mwanaume atakubali kuandika majina ya mwanamke kwenye mali zake binafsi ambazo hakusaidiwa na mwanamke kuzitafuta lakini bado atamuandika mwanamke huyu ambaye alikataa kubadili jina lake la ukoo na kuchukua la huyu mwanaume.

Nadhani ni muda mwanaume aache kuwa mjinga nakuanza kujithimini kwann anajitoa sana kwa kiumbe ambaye kila saa analitumia kupanga mikakati, mbinu na namna za kumdhuru na kumdhurumu ili kujitwalia miliki zake na stahiki zake.

Kama nasema uongo mlimsikia Jokate siku ile akiwa kwenye kusanyiko la wanawake alisema maneno gani. Alisema wazi wazi kuwa wanawake kwasasa wamekwisha shika hatamu na waelekeze nguvu na jitihada kuwatoa wanaume kwenye nyadhifa ili wazikamate wao. Hii inakupa picha gani kuhusu ustawi wajamii?

Wanaume tumepambania na kutetea wanawake kushika nafasi kwa upendo wa hali ya juu ilifika hatua kuna wanaume wenzetu waliwatoa kwa figisu wanaume wenzetu ili wanawake waweze kupata shavu ila ona fadhila za huruma ya wanaume namna wanawake wanavyoijibu.

Tafakari muhimu ya namna ya kuishi inahitajika. Naongea haya yote baada ya jana kuketi kitako na swahiba wangu wa kitaa wa miaka mingi ambaye hivi karibuni kutokea mwaka jana mwezi wa 8 mwanzoni alipata stroke na kupelekea kukaa kitandani hadi mwezi wa kumi na moja akipambana nayo na kuishinda vita jana nazungumza nae akiwa mzima kabisa amepona kwa kudura za mwenyezi, msaada wa matibabu clinic, upendo wa watoto wake,kaka yake, mdogo wake wa kiume, na mama yake mzazi waliokuwa nae wakati wote huu.

Sisi marafiki zake kitaa wa zamani, na maneno ya usaliti ya mke wake aliyempa kauli kuwa "nikikaa kukuuguza ukishakuwa mlemavu nitaishi vipi wacha nikapambane nitafute kazi" matokeo yake jamaa akaendelea kujiuguza kwa msaada wa mkewe wa kwanza, watoto, na familia yake basi. Mwanamke aliyekuwa nae wakiishi nyumba ya kupanga kwa miaka saba amekengeuka na kuanza upya akisema jamaa hatapona cha ajabu mwamba amepona yupo fresh.
 
Endeleeni kufa kwenye NDOA huko..!!!

#YNWA
 
Attachments

  • FB_IMG_1715181674777.jpg
    FB_IMG_1715181674777.jpg
    47.1 KB · Views: 8

we kijana mbona unaeleza ukweli kinagaubaga bila aibu 🐒
 
Kabla hujaoa ilikuwa mtanashati na mnene huku mpenzi wako ni mwembamba ukiingia kwenye ndoa mwanamke anakuwa mnene nguo zinambana zote wakati mwanaume utapungua na kupauka hata kununua jinsi ni kazi wakati mwanamke alikuja na kabegi kake na tunguo alitokuwa ananunuliwa siku za xmass na mwaka mpya lakini sasa hivi makabati mawili na masanduku matatu yamejaa nguo na analalamika haumnunulii nguo.
 
Back
Top Bottom