Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,630
- 6,841
Ukiangalia 'origial comedy', Joti, Triple Funny, Steve Mweusi, kitimtim, na wengine wanaume kucheza character za wanawake kama Kiboga, sio promotion ya mapenzi ya 'kisasa' ya Ulaya na Marekani ambayo ni kinyume na mila, desturi, na tamaduni zetu?
Kama wizara ya elimu ilivyopiga marufuku vile vitabu mashuleni na majumbani, wizara inayoshughulikia filamu, TV, burudani, na tamaduni zetu wako wapi? Au wao wana ni sawa tu? Na wanaume wengine kutoboa pua!!
Kitimtim
Joti
Steve Mweusi
Original Comedy