Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.
Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.
Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.
Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.