Wanasheria nisaidieni hapa

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,540
81,481
Excerpt from the CA judgement........... Consequently, we invoke the provisions ofsection4(2)of the AJA to revise and nullify the proceedings of the CMA with respect to the evidence of PW1 and DW1 and the resulting award. Equally important, the proceedings of the high court in Labour Revision No.25 of 2019 are nullified and quashed.

Ultimately, we order that Labour Dispute No.15 CMA/MUS/187/2019 be remitted to the CMA for rehearing the testimonies of PW1 and DW1 before another Arbitrator's in accordance with the law followed by composing the award as soon as practicable. In the end, considering the circumstances of this appeal, we make no order as to costs.

Swali langu hapo kwenye bold ni hili: Hao mashahidi wakisikilizwa upya na wameshatoa ushahidi wao, wanaweza kubadili waliyotoa ushahidi an kusema engine tofauti kabisa? Nauliza hivi kwa sababu mkisha toa ushahidi kila party anakuwa ameshaona weaknesses zenu and then you can bank on that!
 
Mashahidi wana hesabika hawajatoa ushahidi wao, so wanatakiwa kusikilizwa upya ushahidi wao.

NOTE THAT;

Kama ushahidi watakaotoa ni mpya kabisa ila ni wa ukweli. Haina tatizo kwasababu at the end ukweli utabakia kuwa ukweli.

Kama watatoa ushahidi mpya ila sio wa ukweli. Tatizo litakuwepo, kwasababu mwisho watajikuta wanabanwa kwenye kona.

Ila uzuri hapo order imetaka wapewe msuluhishi mwingine. Yule wa awali anatoka kwenye hayo malalamiko. So akija msuluhishi mwingine kumbuka atakua hajui lolote kuhusu ushahidi waliotoa awali.
 
That means huyu arbitrator mpya ataangalia ushahidi wa nyuma ulikuwa unasemaje na kuulinganisha na wa sasa? (kuona kama shahidi amefanya U turn), short of that, one will patch up the weak parts of his defense/case and come up with a good version of his testimony!
 
That means huyu arbitrator mpya ataangalia ushahidi wa nyuma ulikuwa unasemaje na kuulinganisha na wa sasa? (kuona kama shahidi amefanya U turn), short of that, one will patch up the weak parts of his defense/case and come up with a good version of his testimony!
Haangalii, anaanza straight kuchukua huo mpya. Yaliopita yeye hayamhusu wala hatakiwi kujisumbua kuhusiana na hao mashahidi wawili.
 
basi kuna tatizo la kutotenda haki hapo!
Kwanini unasema hivo? Wakati hio ndio tafsiri halisi ya haki kutendeka.

Kwasababu,

Hao jamaa wamekata rufaa kuomba nafuuu tatu kisheria, its clear;

1) Ushahidi wa hao jamaa wawili utupiliwe mbali na uchukuliwe upya. Probably, wameona hawajatendewa haki na umepokelewa kwa mashaka. = Hili wamekubaliwa

2) Msuluhishi abadilishwe (Maybe hawana imani nae, or wanaona akiendelea kusikiliza shauri hatotenda haki or kwasababu zao wanazojua wao). = Hili wamekubaliwa

3) Costs of Appeal. = Hili ndio wamekataliwa


My point of view, naona haki imetendeka kwasababu hoja walizokatia rufaa zimekubaliwa. Maybe, sina concrete information za hayo malalamiko ndio maana naona hivo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom